😹😹😹 Graduate wa BAF anaenda VETA kusomea welding hatari tupu..!!Mmeambiwa muende VETA, bado hamsikii tyuuh?
Shauri zenu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi tukiwakamata ni mapanga na marungu sisi mwizi huwa hatuna msaada zaidi ya kumuwahisha mbinguniUnakuta mwenzak ni maskini kama wewe..
Anapambana weeeh mapaka anajitahidi kupata chochote kitu wewe unaenda unamkaba alafu unasema ""sasa utafanyaje"" its not fair
Sija kuelewa kutongoza nini kijana?Siwezi kukata tamaa kama wewe ulivyokata tamaa kutoongoza
Kama utafeli hapa duniani hata huko mbinguni nitakuoshea tuItakuwa good mjomba kutawahisha maana na wewe SI utakuja tukukabe tena huko mbinguni
TUkikuacha ujue huna jicho..Sisi tukiwakamata ni mapanga na marungu sisi mwizi huwa hatuna msaada zaidi ya kumuwahisha mbinguni
Mimi ni raisi wa Chama Cha ma jobless pro max, Sasa nime acha wapi?Error.... kutuongoza we si ulikuwa kiongozi au ulikuwa unatuchora
Ulishawahi kusikia nje ndani?Yaan unikute nimeshatangulia halafu unioshee una masikhara wewe