Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,356
- 9,433
🤠 hatarSi ndio
🤠 hatarSi ndio
Usimlete mapepe sasa maana hatutakagi kuwafanyiaga kitu kibaya ila ujuaji wa Kung Fu ndo unawaponzaUna hoja naomba usikilizwe... Ila Kaka jambazi mkitukaba msituumize chukueni hela na simu mtuache salama ili tukawatafutie hela zingine tukiwa na nguvu
Hiyo kauli ya PM,inakataa maini mkuu.Mmeambiwa muende VETA, bado hamsikii tyuuh?
Shauri zenu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wenye shibe amkumbuki mwenye njaa.nipo wilaya ya moja wanawake wanajiuza hatar.Wanatuchukulia poa sana ila acha tu maisha yaendelee
😀😃😃Tukabeni tu kwa kweli🤦
Fanyeni yote ila wizi na uporaji sisi hatuna cha mswalie mtume ni panga na marunguNdio maana tuna risk maisha yetu
Tena hapo itakuwa nyumbani Kuna watu wanawategemea bila kufanya hivyo Hali itazidi kuwa ngumuWenye shibe amkumbuki mwenye njaa.nipo wilaya ya moja wanawake wanajiuza hatar.
Nilipiga story na mmoja nikamuliza unalipwa mshahara akasema amna analipwa elf 2 akimaliza crate na linaisha siku 3 na msos boss anawapa Unga na dagaa. Alafu ni wazur hadi nilichoka.
Ndo umkabe mwenzak ambaye alijitolea kubaba tofali hukoSio kama tunapenda