Fika mabatini na ujitambulishe!Nipe location ya kituo chako au nitinge maskani kwako afande muliro
Umechelewa kuanza hustle sana... before 18 tunaitwa mwanaume badala ya mvulanaAisee mdogo angu zile ni jokes kuchangamsha Uzi, beside nipo kwenye hustle since nikiwa 18.
Wakati wewe uki beba panga una jiona fundi, watu tuna saka ngawira bila skendo za kipuuzi
endelea kuji chekesha, siku uki acha uta elewa.Umechelewa kuanza hustle sana... before 18 tunaitwa mwanaume badala ya mvulana
...usichukulie watu poa
Halafu dogo una andika ujinga mwingi Sana, kwa style hii una tegemea nani akupe mchongo?.Hatukabi kila mtu tunanusa harufu yako kama umetoka kupigika sana au ulikesha kwenye kiyoyozi
🤣🤣🤣Ila kiongozi we mjuaji sanaHalafu dogo una andika ujinga mwingi Sana, kwa style hii una tegemea nani akupe mchongo?.
for real kuli kuwa na ka kitengo nakaona, ila una safari ndefu mzee
For real naku tambulisha vipi Kwa mtu, kuwa akupe hata ka kitengo ka deiwaka?🤣🤣🤣Ila kiongozi we mjuaji sana
Tuendelee na mambo ya chama usije ukanifukuza kundini
Kila mwenye haki anawajibu pia. Imeandikwa asie fanya kazi na asile.Laiti tungejua kuwa maisha hasa basic needs ni kitu cha bure na haki kwa kila kiumbe.
Una omba kazi una amrisha?, halafu huoni Kama Umesha reveal we ni mtu wa aina gani?Kazi ipo wapi kiongozi nifute uzi
Kuku afugie wapi?Fuga familia ya kuku hawana dharau wanaleta matokeo
😃😃 Jamaa sahivi atakuwa timamu muulize jana alikua anasemaje kama anajua...🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ukilewa usichati.
Kanywe supuBado Nina hangover 😁😁😁