Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,935
- 10,558
Nikwambie tu vibaka tulishawawahisha sana mbinguni mpaka umri huu wa uzeeTUkikuacha ujue huna jicho..
Na kama una jicho kinachofata ni kifo
Nikwambie tu vibaka tulishawawahisha sana mbinguni mpaka umri huu wa uzeeTUkikuacha ujue huna jicho..
Na kama una jicho kinachofata ni kifo
Yaani mimi nikimbie chama nilicho kianzisha?, halafu niende wapi?Wewe umetukimbia ulikuwa unatuchora tu
Ila wanawake nao sio wa kuwaamini., ukiwauliza kuhusu hayo mambo yanakuaga na story za simanzi nyingi ni za uongo. Usimuonee huruma mwanamke hata akija na story ya simanzi. Wewe chapa mpe pesa mliokubaliana achana naeWenye shibe amkumbuki mwenye njaa.nipo wilaya ya moja wanawake wanajiuza hatar.
Nilipiga story na mmoja nikamuliza unalipwa mshahara akasema amna analipwa elf 2 akimaliza crate na linaisha siku 3 na msos boss anawapa Unga na dagaa. Alafu ni wazur hadi nilichoka.
😀😀😀😀😹😹😹 Graduate wa BAF anaenda VETA kusomea welding hatari tupu..!!
Hii nchi viongozi wametuzoea sana..!!
Vijana wanahitaji elimu juu ya lengo la chama, maana wanahisi ukiwa kwenye chama lazima uwe maskini wa kutupwa😂😂😂Yaani mimi nikimbie chama nilicho kianzisha?, halafu niende wapi?
Halafu nawa chora kivipi?
eti makutupora, Edo kissy, Thecoder Bolotoba dosho12 raisi wa ma jobless pro max ni nani?
Kani sikitisha sana, sasa tukiwa wote ma jobless michongo ita toka wapi?.Vijana wanahitaji elimu juu ya lengo la chama, maana wanahisi ukiwa kwenye chama lazima uwe maskini wa kutupwa😂😂😂
Mbona mnawajeruhi hadi wanawake kwani kuna wanawake wabishi mbele ya silaha?Usimlete mapepe sasa maana hatutakagi kuwafanyiaga kitu kibaya ila ujuaji wa Kung Fu ndo unawaponza
Comment pekee ya maana kwenye huu uzi ni hii, ila Soulja boy hujatoa location ☺️Wenye shibe amkumbuki mwenye njaa.nipo wilaya ya moja wanawake wanajiuza hatar.
Nilipiga story na mmoja nikamuliza unalipwa mshahara akasema amna analipwa elf 2 akimaliza crate na linaisha siku 3 na msos boss anawapa Unga na dagaa. Alafu ni wazur hadi nilichoka.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ukilewa usichati.Toka hapo bar kijana
Ni me mjibu kuw sin location maulumu ila kama atanip location yake nitaenda kuchukua ridhki yanguComment pekee ya maana kwenye huu uzi ni hii, ila Soulja boy hujatoa location ☺️
Tutegemee hela kutoka kwako wakati we mwenyew umefika mjini umeanza kutoa laana baada ya kutelekezwaKani sikitisha sana, sasa tukiwa wote ma jobless michongo ita toka wapi?.
Halafu ana sema nime kimbia?, je ali tegemea tuwape hela au😁😂
Labda vijana wanataka uwe unawasogezea bahasha za kaki😂😂😂Kani sikitisha sana, sasa tukiwa wote ma jobless michongo ita toka wapi?.
Halafu ana sema nime kimbia?, je ali tegemea tuwape hela au😁😂
Anatulipia ada ya veta😂Mmeambiwa muende VETA, bado hamsikii tyuuh?
Shauri zenu.![]()
Kwani huu Uzi unanuka pombe eeh🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ukilewa usichati.
Ikitokea mtu kaumizwa ilhali ajaleta usumbufu ujue mkabaji kakosea formula na kanuni za kaziMbona mnawajeruhi hadi wanawake kwani kuna wanawake wabishi mbele ya silaha?
Aisee mdogo angu zile ni jokes kuchangamsha Uzi, beside nipo kwenye hustle since nikiwa 18.Tutegemee hela kutoka kwako wakati we mwenyew umefika mjini umeanza kutoa laana baada ya kutelekezwa
Kwa hiyo kijana were ni mkabaji?Ndio maana tuna risk maisha yetu
Afande hiri Huku rinafurahia kupigwa roba 😀,.Una hoja naomba usikilizwe... Ila Kaka jambazi mkitukaba msituumize chukueni hela na simu mtuache salama ili tukawatafutie hela zingine tukiwa na nguvu
Natamani niku arrest, unajibu bira woga kweli wewe ni mwizi shupavu sana! /uovu haulipi!Hatukabi kila mtu tunanusa harufu yako kama umetoka kupigika sana au ulikesha kwenye kiyoyozi