Tulionya kuhusu makamu wakapuuziaHaka ka kwenu Leo kule Mbeya kwenye ziara nimekasikia kanakohoa kohoa, nikasema hii katiba mbovu tuliyinayo itatuingiza Tena mkenge makamu wa sukumagamg MPAKA tushike adabu
Sio rahisi system ya Dunia ishamkataaRuto anashinda tena kwa asimilia nzuri, itakayo ondoa tatizo la ubishi wa uibaji kura
Mkuu wale wenzetu Marekani wamegatua madaraka,hawajampa Rais madaraka yote na ndiyo maana unaona chizi Trump aliweza kuongoza lakini alikuwa akileta kichaa chake anakutana na system inambana,kule hamna mambo ya zidumu fikra za Mwenyekiti bali Kuna zidumu fikra za kitaasisi.German pia Mama Angel Merkel aliweza kuongoza bila shida,Sasa Afrika kazi ipo,sisi wenyewe hapa tunaomba Mungu mambo yaende vizuri kwa kweli!
Ruto anaweza shinda kwa kura lakini hawezi kuwa Raisi.Sytem ya dunia ilishamchagua Odinga.Odinga kutoboa atatoboa KWa shida sana,ile ngoma ni 50/50 maombi yangu KWa Ruto
Kamala Harris ni Africa American sio mhindi baba yake ni mjamaicaWanabodi:
Rais wa Marekani Joseph Biden ana umri wa miaka 80
Mgombea Urais Kenya Raila Odinga ana Umri wa Miaka 78
Makamu wa Rais wa Marekani ni Mwanamama
Mgombea Umakamu wa Rais Kenya Ni Mwanamama
Mzee Raila Odinga akishinda Urais Mama Karua anakuwa Makamu
Yakitokea kama yaliyotokea Tanzania tutaona mabadiliko makubwa sana
Taifa lenye nguvu duniani kuongozwa na mwana mama tena wa asili ya Uhindini
Jirani zetu watapata fursa ya kujifunza kwa Tanzania
Na maeneo mengi katika nchi mbali mbali wataulizana tunafanyaje siku nyingine?
Given: Kila mtu ana matamanio yake ila wewe na mimi tuna haki ya kutafakari tu endapo.........
na mimi natafakari tu
Sio rahisi hata akishinda kama system ya Dunia itamreject atapewa Odinga na akicheza anatupwa the Hague.Uhuru sio mjinga kumsapoti OdingaRuto anashinda tena kwa asimilia nzuri, itakayo ondoa tatizo la ubishi wa uibaji kura
Moto utawaka hivi unawasikia wakenya au unawajua, Cha msingi labda kura zistoshe, zikitosha watamtangaza watake wasitake, hakuna Cha system Wala baba yakeRuto anaweza shinda kwa kura lakini hawezi kuwa Raisi.Sytem ya dunia ilishamchagua Odinga.
Unadhani katiba zinafanana kama mavazi ya CCM? Mfano kwa Kenya kama hawajabadilisha ikiwa Rais amekufa au amejiuzulu au amepatwa na jambo lolote litakalomfanya asiendelee na majukumu yake, makamu wa Rais anashikilia ofisi for 90 days huku wakiandaa uchaguzi wa kumpata mrithi wake.Wanabodi:
Rais wa Marekani Joseph Biden ana umri wa miaka 80
Mgombea Urais Kenya Raila Odinga ana Umri wa Miaka 78
Makamu wa Rais wa Marekani ni Mwanamama
Mgombea Umakamu wa Rais Kenya Ni Mwanamama
Mzee Raila Odinga akishinda Urais Mama Karua anakuwa Makamu
Yakitokea kama yaliyotokea Tanzania tutaona mabadiliko makubwa sana
Taifa lenye nguvu duniani kuongozwa na mwana mama tena wa asili ya Uhindini
Jirani zetu watapata fursa ya kujifunza kwa Tanzania
Na maeneo mengi katika nchi mbali mbali wataulizana tunafanyaje siku nyingine?
Given: Kila mtu ana matamanio yake ila wewe na mimi tuna haki ya kutafakari tu endapo.........
na mimi natafakari tu
Unajua raila ameitoa wapi Kenya? Unamlinganisha Raila na hawa? Pls chukua muda umsome Raila vizuri. That mzee amei"reshape" sana. Ni mastermind wa kila kitu kinachoweza kukuvutia Kenya kwa sasa. Swali,hawa akina January,nnauye na sijui nan....wameifanyia nini Tanzania zaidi ya kupora na siasa chafu?Kumpa Odinga kutatakatisha fikra chafu zinazomea CCM kuamini watoto wanasiasa ndio pekee wanatupiana vyeo Mwinyi, MAKAMBA, Kikwete, Nnauye,
DuuuhBiden hagombei tena ,Raila atashinda ila atakata moto akiwa ofisini kabla ya 2027,mwaka 2027 Rutto atashinda dhidi ya Karua
Kwani hayaendi vizuri?!sisi wenyewe hapa tunaomba Mungu mambo yaende vizuri kwa kweli!
Kaa chini utulie akileta fujo anatupwa the Hague, kwani mbona Odinga alishinda akatangazwa Kenyatta.Moto utawaka hivi unawasikia wakenya au unawajua, Cha msingi labda kura zistoshe, zikitosha watamtangaza watake wasitake, hakuna Cha system Wala baba yake
Kaa chini utulie akileta fujo anatupwa the Hague, kwani mbona Odinga alishinda akatangazwa Kenyatta.
Yaani mshindi tayari wao wanajua kupiga kura ni kutimiza hatua tu
Kwa utulivu wa maziwa makuu Ruto sio sahihi,ataleta machafuko KenyaNgoja tusubili ndani ya siku nane, ila ukweli alitangazwa kinyatta, ila yaliyotokea kenya yamewafunza mengi wakenya ,nakwambia Ruto kura zikitosha atatangazwa
Mbona watu mnamchuria huyu mzee kuwa. Hatamaliza kipindi chake Cha uongozu bwan odinga Kwanza Bado haijafahamika Kama atakuwa rais na piliWanabodi:
Rais wa Marekani Joseph Biden ana umri wa miaka 80
Mgombea Urais Kenya Raila Odinga ana Umri wa Miaka 78
Makamu wa Rais wa Marekani ni Mwanamama
Mgombea Umakamu wa Rais Kenya Ni Mwanamama
Mzee Raila Odinga akishinda Urais Mama Karua anakuwa Makamu
Yakitokea kama yaliyotokea Tanzania tutaona mabadiliko makubwa sana
Taifa lenye nguvu duniani kuongozwa na mwana mama tena wa asili ya Uhindini
Jirani zetu watapata fursa ya kujifunza kwa Tanzania
Na maeneo mengi katika nchi mbali mbali wataulizana tunafanyaje siku nyingine?
Given: Kila mtu ana matamanio yake ila wewe na mimi tuna haki ya kutafakari tu endapo.........
na mimi natafakari tu
Kwa hyo mkuu mtu akikoaa ndio anakufa hzi speculation za kipuuzi mnazitoa wapi lkn watu wazima Kia's hikiHaka ka kwenu Leo kule Mbeya kwenye ziara nimekasikia kanakohoa kohoa, nikasema hii katiba mbovu tuliyinayo itatuingiza Tena mkenge makamu wa sukumagamg MPAKA tushike adabu