malimingiii
JF-Expert Member
- Nov 20, 2013
- 968
- 1,343
Jo
Joe Biden Afya Mgogoro
Waliosema Lowasa afya mgogoro wakaenda wao wakamwacha na afya yake ya mgogoro.
Usilolijua….
Jo
Joe Biden Afya Mgogoro
Sasa huku Lukuvi alipigwa biti sijui tukojeYule Mwanamama mzazi mja wapo ni mwafrika na mwingine ndio mhindi..
Sio rahisi,Tunisia kuna Rais ana miaka 85 na mambo yanaenda so inategemeana na afya..
Unaweza tangulia wewe ukamuacha.
Wako makini sana hawa, sisi tunaweka mtu weak ili awe supressedMakamu wa Rais wa Marekani ni Mwanamama
Mungu aachwe na uungu wake, kazi ya mikono yake haidhihakiwi, madaraka na nafasi zao ziliwafanya wajione wanamkaribia Mungu kumbe sivyoWaliosema Lowasa afya mgogoro wakaenda wao wakamwacha na afya yake ya mgogoro.
Usilolijua….
Raila atakuwa kama best friend wake Magufuli.Biden hagombei tena ,Raila atashinda ila atakata moto akiwa ofisini kabla ya 2027,mwaka 2027 Rutto atashinda dhidi ya Karua
Unamjua muangalizi wa Uchaguzi lakini?Ruto anashinda tena kwa asimilia nzuri, itakayo ondoa tatizo la ubishi wa uibaji kura

Ndugu yangu huko hawana katiba kama hii ya maccm. Rais akifa huko makamo anakaimu kwa mda tu.na Hana mamlaka kamili Uchaguzi unafanyika fastaWanabodi:
Rais wa Marekani Joseph Biden ana umri wa miaka 80
Mgombea Urais Kenya Raila Odinga ana Umri wa Miaka 78
Makamu wa Rais wa Marekani ni Mwanamama
Mgombea Umakamu wa Rais Kenya Ni Mwanamama
Mzee Raila Odinga akishinda Urais Mama Karua anakuwa Makamu
Yakitokea kama yaliyotokea Tanzania tutaona mabadiliko makubwa sana
Taifa lenye nguvu duniani kuongozwa na mwana mama tena wa asili ya Uhindini
Jirani zetu watapata fursa ya kujifunza kwa Tanzania
Na maeneo mengi katika nchi mbali mbali wataulizana tunafanyaje siku nyingine?
Given: Kila mtu ana matamanio yake ila wewe na mimi tuna haki ya kutafakari tu endapo.........
na mimi natafakari tu
Huu ndo ukweli mchungu kwao. Make hiyo miaka yote ni wanaumme na wizi uko pale. Upigaji wa wanaumme ni kufuru ndugu yangu. Kitu ambacho ccm hawaamini ni kua nchi inahitaji mifumo imara yenye taasisi imaraKwani hao Marais wanaume wamefanya nini miaka 60 sasa? Kila ufisadi nchi hii ulifanywa na wanaume.
CCM imechoka hata angewekwa mwanaume ubovu ungeendelea pale pale...
Mimi napingana na wewe kwa sababu 99% ya viongozi wetu wa afrika ni me. Lkn matatizo ndo yanaongezeka kila kukicha na matatizo yako chini ya uongozi wa wanaumme. Hawa wanaumme wameshindwa kuunda mifumo yenye taasisi imara. Kwa hiyo tukubali shida haiko kwa wanawake kuongoza. Iko kwenye viongozi wetu wengi ambao ni wajinga wajingaUkweli utabaki mchungu Africa kuongozwa na mwanamke ni changamoto sana.
~men(logic)
~women(emotion).
Waafrika na mfumo dumeYaani karua mkikuyu aangushwe na mkalenjin? Siasa za Kenya huzijui wwe.
Naisave hii commentRaila hashindi mnajidanganya au mnafikir kupekeka mnengua viuno wa ccm ndo atashinda mount kenya ya wakikuyu iko na ruto pamoja na central ambao ndo wapiga kura wengi halafu useme raila atashinda labda njaa na akishindwa anakufa ba kufa hapohapo.
mbona Mrema LOWASA ni wagonjwa na wapo wanachechemea. tusiingilie kazi za MUNGUYule Mwanamama mzazi mja wapo ni mwafrika na mwingine ndio mhindi..
Sio rahisi,Tunisia kuna Rais ana miaka 85 na mambo yanaenda so inategemeana na afya..
Unaweza tangulia wewe ukamuacha.
Mlisema hayahaya kwa Lowassa
Sasa kwani Biden ni mgonjwa?mbona Mrema LOWASA ni wagonjwa na wapo wanachechemea. tusiingilie kazi za MUNGU
kwa umri alionao BIDEN tayari mmeshaingilia kazi ya MUNGU kwamba yaliyotokea TZ kupitia yule mzee wa kutesa watz basi mnaona kuwa na AMERICA litatokea hilo na mama ataukwaa ukuu hili ni wazo la kijinga kabisaSasa kwani Biden ni mgonjwa?
Na Watoto wachanga wanaokufa siku ya Mama zao kujifungia walizidiwa na roho mbayaRoho mbaya ilimzidi

Shida ya afrika sio uongozi shida ni system iliyopo na bado inahitaji wanaume kuhakikisha inasimama,U.S.A pamoja na kuhubiri demogasia na usawa jinsia mbona bado ni madume tu.Mimi napingana na wewe kwa sababu 99% ya viongozi wetu wa afrika ni me. Lkn matatizo ndo yanaongezeka kila kukicha na matatizo yako chini ya uongozi wa wanaumme. Hawa wanaumme wameshindwa kuunda mifumo yenye taasisi imara. Kwa hiyo tukubali shida haiko kwa wanawake kuongoza. Iko kwenye viongozi wetu wengi ambao ni wajinga wajinga
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Inawezekana siko sahihi lakini nilichokiona hapo ni kuwa unasumbuliwa na mfumo DUME tu basi.Wanabodi:
Rais wa Marekani Joseph Biden ana umri wa miaka 80
Mgombea Urais Kenya Raila Odinga ana Umri wa Miaka 78
Makamu wa Rais wa Marekani ni Mwanamama
Mgombea Umakamu wa Rais Kenya Ni Mwanamama
Mzee Raila Odinga akishinda Urais Mama Karua anakuwa Makamu
Yakitokea kama yaliyotokea Tanzania tutaona mabadiliko makubwa sana
Taifa lenye nguvu duniani kuongozwa na mwana mama tena wa asili ya Uhindini
Jirani zetu watapata fursa ya kujifunza kwa Tanzania
Na maeneo mengi katika nchi mbali mbali wataulizana tunafanyaje siku nyingine?
Given: Kila mtu ana matamanio yake ila wewe na mimi tuna haki ya kutafakari tu endapo.........
na mimi natafakari tu
Mungu wa Mbinguni awabariki ndugu zetu Kenya wamalize uchaguzi salama.Wanabodi: