Ungepitia pitia habari muhimu za wiki iliyopita ungeelewa kuwa mitambo mipya kabisa ya kufua umeme kwa kutumia gas iliyopo Kinyerezi imekwisha simikwa na sasa inafanyiwa majaribio.
Na mitambo ya zamani inayotumia mafuta mazito nayo inabadilishwa ili itumie gas yetu, kwa hiyo tutegemee umeme kukatika hapa na pale kwa takriban miezi miwili.
Kikwete anatuwachia umeme wa miaka 20 ijayo.

ha ha ha halafu unapigia kampeni ccm
kapigwa upofu naukiziwihuyu foxy ameshatolewa mshipa wa aibu
Ndo mkome kuchagua ccm
Ungepitia pitia habari muhimu za wiki iliyopita ungeelewa kuwa mitambo mipya kabisa ya kufua umeme kwa kutumia gas iliyopo Kinyerezi imekwisha simikwa na sasa inafanyiwa majaribio.
Na mitambo ya zamani inayotumia mafuta mazito nayo inabadilishwa ili itumie gas yetu, kwa hiyo tutegemee umeme kukatika hapa na pale kwa takriban miezi miwili.
Kikwete anatuwachia umeme wa miaka 20 ijayo.
Ungepitia pitia habari muhimu za wiki iliyopita ungeelewa kuwa mitambo mipya kabisa ya kufua umeme kwa kutumia gas iliyopo Kinyerezi imekwisha simikwa na sasa inafanyiwa majaribio.
Na mitambo ya zamani inayotumia mafuta mazito nayo inabadilishwa ili itumie gas yetu, kwa hiyo tutegemee umeme kukatika hapa na pale kwa takriban miezi miwili.
Kikwete anatuwachia umeme wa miaka 20 ijayo.
Huku Majohe, Ukonga, Kipunguni, Chanika, Gongo la mboto, Pugu, Kisarawe na maeneo yote ya Gongo la Mboto hatuna umeme leo siku ya tano. Hatukumbuki kabisa, imebidi nihame kwa muda maana kazi zangu zinategemea umeme. Swali la kujiuliza huku hatuna maji ya dawasco tunavuta chini kutumia mashine.
Wanadai transforma imeungua sasa swali la kujiuliza wanashindwa hata kutugawia kwa line nyingine tukagawana na wengine ili tusukume maji. Hili taifa letu tusipobadilika sisi wenyewe umasikini utaendelea kututafuna haiwezekani siku tano bila umeme. Waziri Simbachawene waamshe hao tanesco. Tumechoka...