Hatukuumbiwa this much stimilation

Hatukuumbiwa this much stimilation

Kuna tofauti kati ya raha na furaha.

Unaweza ukapata raha ila usiwe na furaha na kinyume chake kadhalika.

Kulinganisha nyakati zilizopita na Sasa ni kujilisha matarajio hewa.

Kama hatuwezi kurudi nyuma kwanini tuishi katika wakati uliopita?

Kama hatuwezi kwenda mbele yafaa nini kuhofu mambo yajayo?

Itakuwaje tukiacha ya nyuma (past) tupotezee yajayo ( future)?

Itakuwa vipi tukiishi wakati uliopo (Sasa)?
 
Producers - less than 1%
Consumers - more than 99%

Ukiwa wewe ni consumer, fake dopamine au cheap dopamine zinakuhusu.

Ukiwa wewe ni producer utazalisha na kuuza fake dopamine.

Chaguo ni lako.
Yes
Ila never the less, hata zamani consumer walikuwa wengi, sema walikuwa wanaconsume vitu vya maana...

Leo the media is polluted, ukiingia Instagram sasa hivi kila mtu ni content creator. Hakuna genuine idea yaani unamsikiliza huyu then mwingine anakuja na twisted idea.. So badala ya ku consume Unaishia ku compare nani yuko right!.
 
Moja ya namna za kupima strength za mwanadamu wa sasa ni uwezo wake wa kuji control katika matumizi ya vifaa vya kielektroniki.
Mtu ambaye 24/7 yupo kwenye simu/computer ni bomu linalotarajia kujilipua muda wowote.

Namna
Sometimes ni bora kuchukua sabbatical days, or una plan hours of screen time
 
Kwa hakika vijana wa zamani tuli-enjoy maisha, ijapokuwa vitu havikupatikana kwa urahisi, lakini kupatikana kwa vitu vile kwa mbide ndo burudani yenyewe.

Yaani unakaa karibu na Redio siku nzima huku ukisubiri wimbo wa OSS 'chatu ni mkali' upigwe.
Hakika mkuu
Nimeipenda hiyo ya kukaa na redio kusikia msanii pendwa.. We many of us are guilty
 
Nakumbuka enzi za wedsexdotcom unaona pono kwa gharama kubwa na kwa usiri mkubwa usifumwe na mwenye internet cafe yake. Saivi pono is evriwea hujataka kutizama ushaletewa.
We had a desktop at home mzee alikuwa mkali kichizi huo muda wa kuangalia porno hauku exist. Sijawahi kutumia Cafe toka nazaliwa
 
Kuna tofauti kati ya raha na furaha.

Unaweza ukapata raha ila usiwe na furaha na kinyume chake kadhalika.

Kulinganisha nyakati zilizopita na Sasa ni kujilisha matarajio hewa.

Kama hatuwezi kurudi nyuma kwanini tuishi katika wakati uliopita?

Kama hatuwezi kwenda mbele yafaa nini kuhofu mambo yajayo?

Itakuwaje tukiacha ya nyuma (past) tupotezee yajayo ( future)?

Itakuwa vipi tukiishi wakati uliopo (Sasa)?
Hii poetic comment ina maana gani?
 
Sasa hivi yaani hakuna raha kabisa

Maisha yamekuwa fast paced..

Dopamine imekuwa cheap kiasi kwamba mambo yalotupa furaha zamani leo tunayaona ya kawaida

We used to play game with floopy disks, leo hata smartphone ina games tena 3D kabisa
View attachment 3618629

Music was sold on cassette leo una download kwa sekunde tu una sikiliza..

Alaf hata mziki wenyewe hau enjoy, bado hapo hapo message zinaingia, magroup ya Whatsapp, telegram, mara imepigiwa video call

Jaman this is too much, the things we consume on a daily basis are making us dumb.

Tumezidiwa na mashine kwa sababu hatujui madhara ya kuwa distracted, una loose focus, kumbukumbu inakuwa tinkered.

Mimi Nahisi kabisa tunaelekea kuwa nihilistic, kila kitu kitafanya mashine na sisi hatua kuwa na thamani because tumeruhusu autonomy yetu iwe replaced by automation

We were not meant for this.
Thamani uetu ipo palepale maana hta kama vitu vingi vitafanywa na mashine vyoote hivyo bado lengo ni kumtumikia binadamu
 
Kitu chochote ambacho sio natural lazima kipoteze stimulation

Happy ndipo Wenye watoto, Kisha wajukuu Kisha vitukuu wanapowapiga gap materialistic
Hakika when you have kids, they keep you out of this mess in one way or another..

They help you get out of constant and destructive dose of unhealthy pleasure

Pure joy comes from children
 
Hakika when you have kids, they keep you out of this mess in one way or another..

They help you get out of constant and destructive dose of unhealthy pleasure

Pure joy comes from children
Lakini sio mara zote inakua hivyo kuna watu wanao watoto lakini hawafurahii kua na watoto, ipo hivyo yaan
 
Back
Top Bottom