Hatukumlinda Polepole sasa tumlinde Yuda

Hatukumlinda Polepole sasa tumlinde Yuda

Enzi zile Polepole akifanya hikihiki tuliambiwa mengi sana, wengine walisema maigizo,wengine walisema ni shujaa tuliyemsubiri muda mrefu lakini hatukumlinda, kwa kuwa Yuda amekuja kuomba msaada kupata nguvu ya Umma basi tuache maneno tumlinde,asijekupotea kama Polepole ndio tujilaumu hatukumlinda.
Yuda ana walinzi.

Tujilinde na kuwalinda Watanzania wenzetu
 
Kwenye hili nakataa.

Nchimbi yuko na mawazo huru toka siku nyingi.
Na ndio maana aliitwa Yuda hata kabla hajaongea ya juzi.
Mkuu pengine una miss point hapa. Kuna wanaoamini kuwa hata kule kuitwa ''yuda'' ni mpango uliopangwa. Na kuna wanaokwenda mbali zaidi na kusema hata zile tetesi zilizojitokeza kabla ya uchaguzi kuwa Samia anataka kubadilisha mgombea mwenza asiwe Nchimbi, ilikuwa ni mpango maalum. All in all, siegemei upande wowote bali nadhani tujaribu kupima mambo kutoka kila angle. Kuna mvutano wa kweli? Ni geresha tu? NB: kwa upande wangu nimeegemea zaidi kwenye nadharia ya mvutano wa kwel... kwani hata gazeti la African Intelligence liligusia kuwa kuna mvutano.
 
Enzi zile Polepole akifanya hikihiki tuliambiwa mengi sana, wengine walisema maigizo,wengine walisema ni shujaa tuliyemsubiri muda mrefu lakini hatukumlinda, kwa kuwa Yuda amekuja kuomba msaada kupata nguvu ya Umma basi tuache maneno tumlinde,asijekupotea kama Polepole ndio tujilaumu hatukumlinda.
kwa kuwa Yuda amekuja kuomba msaada kupata nguvu ya Umma basi tuache maneno tumlinde,asijekupotea kama Polepole ndio tujilaumu
 
Mmeshndwa kumlinda yule mbwa kwa alikamatwa kama kinyau na yupo gerezani anakunyia kwenye kuta za ukonga!

We una nini cha kumlinda makamu?
 
Wewe ndio unakosea, alichokifanya polepole nchimbi hajawahi kukifanya, sasa unamlindaje?
 
Back
Top Bottom