humphrey polepole atekwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Hatukumlinda Polepole sasa tumlinde Yuda

    Enzi zile Polepole akifanya hikihiki tuliambiwa mengi sana, wengine walisema maigizo,wengine walisema ni shujaa tuliyemsubiri muda mrefu lakini hatukumlinda, kwa kuwa Yuda amekuja kuomba msaada kupata nguvu ya Umma basi tuache maneno tumlinde,asijekupotea kama Polepole ndio tujilaumu hatukumlinda.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Watanganyika tunamlilia Humphrey Polepole

    Mimi kama mtanganyika nilimkubali sana hamphrey polepole kutokana na elimu aliyokuwa anatupa watanganyika kwenye kipindi chake cha elimu ya uongozi. Toka yaanze maandamano sikuwahi kushiriki lakini kwa kumteka polepole na wengine zaidi ya miamoja kama inavyoonesha taarifa ya TLS iliyosomwa na...
  3. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Ado Shaibu: Polepole ametekwa, CCM imeshindwa kumtetea - Kama hawawezi kuteteana wenyewe, watawezaje kuwatetea wananchi?

    Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo, Ado Shaibu Ado, ameikosoa vikali CCM kwa ukimya wake kuhusu madai ya kutekwa kwa aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho na Balozi wa Tanzania, Humphrey Polepole, akidai hatua hiyo inaonesha unafiki wa kisiasa na kudhoofisha matumaini ya wananchi kupata...
  4. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Mama Polepole amefika mahakama kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam

    Kesi ya jinai iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Malawi na Cuba Humphrey Polepole kupitia Wakili wake Peter Kibatala, inaendelea leo, Jumatano Oktoba 15.2025, Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam Katika kesi hiyo ambayo inasikilizwa chini ya...
  5. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kibatala ana ushaidi kuwa aliyetekwa ni Humphrey Polepole au ameamua kutimiza wajibu tu?

    Baada ya tukio linalodhaniwa la kutekwa polepole wakili msomi alitakiwa kufanya kilakitu kuhakiki ukweli wa taarifa mfano. 1. Kwenda eneo la tukio na kupata ushaidi mfano. A. Kuna camera B. Damu ilitapakaa pale ni ya polepole kweli na sio ya mbuzi au kuku. C. Kutafuta wapelelezi binafsi ili...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi: Tetesi zinasema Polepole kusafirishwa visiwa vya Comoros

    Bado siamini kabisa kama Polepole katekwa ila unyama huu wanaoendelea kuufanya hawa watu ipo siku yao inakuja kabisa na wao watalia na kusaga meno. Utawala unamwisho wake ===================== Mdau amenisukumia taarifa hii na ni mtu mwenye taarifa za kuaminika ila sijathibitisha na independent...
  7. Black Opal

    JamiiForums Tanzania Watu tumekosa usingizi kutokana na uchungu wa kutekwa Polepole, Gen Z msipotoka kuandamana mtakuwa mmeliangusha taifa!

    Aloooo, Kama ulikuwa hujali wala huumizwi na matukio ya utekaji, na kuona hayajuhusu nadhani hilo limebadilika kuanzia jana. Nimepita mtandaoni maoni yanafanana, watu tumeshindwa kulala, usingizi unakuja wa mang'amung'amu, moyo unauma kama vile aliyetekwa ni mtu wako wa karibu. Unajikuta...
Back
Top Bottom