Hatua tano apitiazo mwanamke baada ya break up Vs mbili apitiazo mwanaume

gileun

Member
Nov 8, 2017
84
74
Wanawake:
1. Kukasirika sana (Anger)
2. Kuukataa ukweli (Denying)
3. Kumpunguza thamani ampendaye kwa kuongelea negative sides
zake (Bargaining)
4. Kuwa na mawazo mengi (depression)
5. Kujipendezesha Zaidi/kujaribu kutafta mwanaume bora zaidi
(Making a better self/trying to meet a better man).

Kwa wanaume ni tofauti:
1. Self-destruction signs are shown (Hupunguza kujijali na hata kujidhuru sometimes) or
2. Much more distressed (Kuwa na mawazo mengi sana kulinganisha na mwanamke) they suffer great pain than women due to unbearable loss!
Je, kuna ukweli wowote hapa?
 
Me sinaga huo muda hata ukijinunisha ndo sina habar, aisha yupo nitachat nae nakusahau. MTAPATA TABU SANA
 
Me sinaga huo muda hata ukijinunisha ndo sina habar, aisha yupo nitachat nae nakusahau. MTAPATA TABU SANA

Tuko pamoja, mtu akijipunguza kwangu aaagghh kwa raha zangu kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi.

Nikiachana na Gwila naendelea kuzoeana na Nkundwe na Kasumba na Tulo. Mmoja wapo mazoea yakitiki tunaliendeleza gurudumu la Mahaba kwa raha zetu.

Sinaga muda wa kupendeza sababu ya mtu wala kuwaza ananiwazia nini. Nikishajiambia ajua... Ni mguu mbelee na hakuna kurudi nyuma.

Heee...!!! Kumbe nawaza kwa sauti, acha nikakamue maziwa....

Platinum Matata Kasinde.
 
Unaejiita baharia aibu yako
1568182312582.jpeg
 
Hizo za wanaume hutegemeana.

Wale wanaowekeza kwenye mapenzi ndiyo huumia zaidi ikitokea wamepigwa chini. Au wale wanaotumia pesa nyingi na nguvu nyingi ili wapendwe ndiyo huumia sana.
 
Wanawake:
1. Kukasirika sana (Anger)
2. Kuukataa ukweli (Denying)
3. Kumpunguza thamani ampendaye kwa kuongelea negative sides
zake (Bargaining)
4. Kuwa na mawazo mengi (depression)
5. Kujipendezesha Zaidi/kujaribu kutafta mwanaume bora zaidi
(Making a better self/trying to meet a better man).

Kwa wanaume ni tofauti:
1. Self-destruction signs are shown (Hupunguza kujijali na hata kujidhuru sometimes) or
2. Much more distressed (Kuwa na mawazo mengi sana kulinganisha na mwanamke) they suffer great pain than women due to unbearable loss!
Je, kuna ukweli wowote hapa?
wanaume wa wapi kwanza au dar??
 
Nimesoma comments nikaishia kutabasamu. Me wengi humu wanajifanya hawana cha kupoteza kwenye mapenzi and yet ndio nyuzi zao za kulialia na comments za maumivu zimejaa humu ndani.

Anyway, nawatakia healing ya haraka. Amen.
 
Mapenzi ukiwekeza kiasi icho ndiyo utaumia... Kuliko akina kupita nduki , kwanza tukiachana naona fresh tu napata kazi mpya.
 
Back
Top Bottom