Hatua tano apitiazo mwanamke baada ya break up Vs mbili apitiazo mwanaume

mh, umeongea kweli tupu hapa......yalinikuta hayo, mwanzoni sikuwa namfikiria wala kujali lakini kadiri muda ulivyoenda naye kumpata mwingine nikageuka kuwa kama mtumwa hivi......nikawa najikuta namfuatilia kwa sana yaani kujua maendeleo yao tu na nikisikia wamepiga hatua basi kawivu fulani kalikuwa kananishika. ilinisumbua miezi kadhaa kwakweli na mpaka leo bado hiyo hali hunitokea lakini hainisumbui sana. ilifikia wakati najenga picha kabisa ya anachomfanyia huko chumbani....ni shida kwakweli!!!
Pole. Ukiwaza ya chumbani unatulia kama unanyolewa eeh
 
mh, umeongea kweli tupu hapa......yalinikuta hayo, mwanzoni sikuwa namfikiria wala kujali lakini kadiri muda ulivyoenda naye kumpata mwingine nikageuka kuwa kama mtumwa hivi......nikawa najikuta namfuatilia kwa sana yaani kujua maendeleo yao tu na nikisikia wamepiga hatua basi kawivu fulani kalikuwa kananishika. ilinisumbua miezi kadhaa kwakweli na mpaka leo bado hiyo hali hunitokea lakini hainisumbui sana. ilifikia wakati najenga picha kabisa ya anachomfanyia huko chumbani....ni shida kwakweli!!!
Pole.ukioa pengn hali hyo itapotea
 
Basi viumbe me ni viumbe dhaifu sana,
Sasa sijui kwa nini huu msemo huwa unatumika kama wasifu wa viumbe ke!
 
Huu uzi nahisi unatuhusu sisi wanawake .

Wanaume wa jf hawaumizwagi na mapenzi.
 
Npo kwny stage ya mwisho ya kujipendezesha, life's much funnier when u are free to do anything .
 
Wanawake:
1. Kukasirika sana (Anger)
2. Kuukataa ukweli (Denying)
3. Kumpunguza thamani ampendaye kwa kuongelea negative sides
zake (Bargaining)
4. Kuwa na mawazo mengi (depression)
5. Kujipendezesha Zaidi/kujaribu kutafta mwanaume bora zaidi
(Making a better self/trying to meet a better man).

Kwa wanaume ni tofauti:
1. Self-destruction signs are shown (Hupunguza kujijali na hata kujidhuru sometimes) or
2. Much more distressed (Kuwa na mawazo mengi sana kulinganisha na mwanamke) they suffer great pain than women due to unbearable loss!
Je, kuna ukweli wowote hapa?
Kwa mwanamke no 1 had 4 ni sawa na kwa me hapo bila bila empty set
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom