Hatua sita za uumbaji

Hatua sita za uumbaji

....zijapopita siku za furaha tusihuzunike bali tufurahi kwakuwa zilikuwepo na zitarudi tena...hakuna kidumucho milele iwe furaha ama huzuni kushuka au kupanda, kukwama au kufanikiwa. ...
Hii ni halisia kabisa yaani ya maisha ya mwanadamu katika mwili wa damu na nyama
 
Kwamba alimaliza kazi ya uumbaji siku ya sita... tunafuata kuitii hii siku na kuienzi kwakuwa yeye alipumzika, lakini leo hii hata sasa kuna watu wana majukumu ambayo hawapaswi kupumzika, kumbuka Yesu Kristo aliponya siku ya Sabato na hii hatuwezi kusema kuwa kaitangua torati
Na akaongezea kuwa "Baba yangu anafanya kazi hata sasa"
 
It was timeless by then
Kwa habari ya kiroho, usiku na mchana ni habari ingine tofsuti sana na hivi tunavyo hesabu masaa, umemjibu vema, it was timeless. Maana alipoiumba nuru, akaitenganisha na giza kisha akaiita nuru mchana na giza usiku. Tangu hapo ikawa ikawa jioni ikawa asubuhi siku moja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom