Hatua sita za uumbaji

Hatua sita za uumbaji

Hebu nijibu kwanza maana tukienda kwa muktadha wa kuulizana maswali bila majibu haitatusaidia sisi na wasomaji
Kwa wanyama naweza kusema YES,wanafanya ngono since wanakutana jike na Duke,japo ujawa specified ni wanyama gani sababu even human is a animal..

Labda tofauti iwe kwenye lugha
 
Sidhani kama hiki ndio kile kizazi cha Mungu tunayemfahamu na kuhubiriwa sana! Kiuhalisia hiki ni kizazi kingine kabisa
Kizazi cha elimu dunia na maisha ya pesa na vitu ! Ndio maana kufuru haiishi ya kumkana Mungu ! Bahati mbaya sana wanafanya hivi wakiwa bukheri wa afya huko mjini kwenye mataa na mwendokasi, natamani siku moja niwachukue ziara niwalete huku niliko usiku huu (search location utajua )
Hahahahahaa
 
Kwa wanyama naweza kusema YES,wanafanya ngono since wanakutana jike na Duke,japo ujawa specified ni wanyama gani sababu even human is a animal..

Labda tofauti iwe kwenye lugha
Inawesekana kabisa kuna kitu huelewi ni hisia zangu tu lakini
 
Kwa wanyama naweza kusema YES,wanafanya ngono since wanakutana jike na Duke,japo ujawa specified ni wanyama gani sababu even human is a animal..

Labda tofauti iwe kwenye lugha
Tunajadili kwa muktadha wa kiimani sio kisayansi kwahiyo dhana ya kumuweka binadamu kwenye kundi la wanyama inakuwa ni void
 
Na ndio maana nikasema hapo kwenye mada kuwa uumbaji wa kwanza ulikamilika baada ya siku sita baada ya hapo kila kitu kiliingia kwenye automation mode
-mwanadamu aliyeumbwa na Mungu si huyu wa sasa..! Sasa hivi kuna Kituko
-Dunia iliyoumbwa na Mungu sio hii ya sasa... sasa hivi kuna mfano wa dunia, wanyama mimea hata vitu vunavyotuzunguka
Kimsimgi kilichopo sasa ni
Binadamu toleo la mwisho
Wanyama toleo la mwisho
Mimea na nk toleo la mwisho watu wameji edit mpaka wamekuwa kama vinyago
mkuu Jr kuna nyimbo moja nilisikia jamaa alisema in the beginning the world was garden ila hata ukiangalia sasa sio garden tena.
 
Na ndio maana nikasema hapo kwenye mada kuwa uumbaji wa kwanza ulikamilika baada ya siku sita baada ya hapo kila kitu kiliingia kwenye automation mode
-mwanadamu aliyeumbwa na Mungu si huyu wa sasa..! Sasa hivi kuna Kituko
-Dunia iliyoumbwa na Mungu sio hii ya sasa... sasa hivi kuna mfano wa dunia, wanyama mimea hata vitu vunavyotuzunguka
Kimsimgi kilichopo sasa ni
Binadamu toleo la mwisho
Wanyama toleo la mwisho
Mimea na nk toleo la mwisho watu wameji edit mpaka wamekuwa kama vinyago
mkuu Jr kuna nyimbo moja nilisikia jamaa alisema in the beginning the world was garden ila hata ukiangalia sasa sio garden tena.
 
Umenikumbusha..... nilisikia BBC News wakitangaza kuwa wanasayansi wanafikiria kuanzaisha maabara itakayozalisha chakula kwa ajili ya binadamu na kuiacha dunia ibaki kuwa sehemu ya starehe. Yaani nyama, maziwa, mayai, matunda n.k. n.k. vyote vitengenezwe maabara kutokana na vimelea vya bidhaa hizo......

Hapo inamaana binadamu an as it is he uumvajj na mpango aliouacha Mungu?
Just thinking loud..
kuweza wanaweza ila itakuwa sio kama ile ya sir Almighty kwa maana hiyo hawa jamaa watafanya Ku isolate kutoka kwenye originally ndio maana mpaka Leo bado wapo kwenye laboratory wana fanya uchungu wa vinasaba au DNA,ila kwenye mambo ya modified from natural wanaweza kimtindo
 
View attachment 362038Najua fika kwamba wengi watadhani ni ule uumbaji wa Kimungu uumbaji ule wa dunia na kila kilichopo
Hapa nazungumzia uumbaji wa uundaji japo kuna mfanano wa ajabu kwamba dunia iliumbwa kwa siku sita na ya saba ikawa mapumziko...lakini ukija kuangalia hiyo siku ya saba Aliyepumzika ni Mungu na si vile alivyoumba
Kimsimgi uumbaji hauna mwisho kazi ya kuumbwa inapokamilishwa na muumbaji, kilichoumbwa huanza safari ya kujiendeleza uumbaji...sasa kabla hatujafika huko hebu tuone hatua hizi sita za uumbaji
1. Hatua ya kwanza ni wazo... binadamu hushauriana na nafsi yake na ufahamu wake! Hapa ni yeye pekeyake baadae huwajulisha wengine nje ya ufahamu wake na nafsi yake au hufanya mwenyewe, dhana ya umoja na wingi! Mungu akasema na 'tuumbe mtu kwa mfano wetu'
2. Matayarisho: wazo linapokubalika matayarisho huanza ya vifaa ya pesa ya watu ya eneo nk nk...Mungu yeye alikwisha andaa bustani ya eden
3. Uumbaji: baada ya matayarisho yote muhimu kukamilika kazi ya uumbaji/uundaji huanza hapa Inategemea na ukubwa au udogo wa kitu , uundaji wa meli ni tofauti na uundaji wa kitanda, Mungu alitumia siku sita kuumba ulimwengu na kuunda kila kilichopo (siku sita hizi hatujui kwa hakika kama ni hizi tunazozijua ama la)
4. Kitu kipya hutokea baada ya uumbaji kukamilika, hiki ni kitu kipya baada ya kukamilika kazi ya uumbaji, kamwe hakiwezi kuwa kipya tena daima dawamu, wala huwezi kurudia ule mchakato hata iweje....kwamba kilichoumbwa kimeumbwa na ndio maana hata Mwenyezi Mungu baada ya uumbaji ule na maudhi aliyofanyiwa na nyoka kule mbinguni na Adam na Eva kule Eden hakuweza tena kuwateketeza au kuwarudisha alikowatoa au kutengua uumbaji wa dunia na kila kilichopo
5. Uchakavu: chochote kipya kitapotoka kuundwa huanza kuchakaa hapo hapo hata kama hakitatumika kitachakaa tuu....mtoto anapozaliwa amezaliwa huwezi kumrudisha tena tumboni mwa mama yake
6. Mwisho wa matumizi, kifo kuoza na kuanza mchachato mwingine wa uumbaji...kwamba ipende unavyoipenda gari yako au nyumba yako au nguo nk..kila siku inayopita ndio inaelekea kaburi la uchakavu, au chuma chakavu uzee na hatimaye kifo na kuwa recycled tayari kwa matumizi mengine mapya aidha kwa mtindo ule ule au(reborn) au kwa matumizi mengine (reincarnation)
Kwahiyo uumbaji hauna mwisho vitu vinaundwa vinatumika vinazeeka kuharibika na kutumiwa kwa matumizi mengine
Upende mwili wako uupendavyo lakini kamwe hutakuwa wewe wa jana na wa sasa hutakuwa wewe wa kesho
Tunakuwa na mapenzi yaliyopitiliza kwenye vitu...vile tuvipendavyo sana hatutaki vituondoke, na hutumia hata nguvu za ziada kuvihodhi, vile tusivyovipenda tunataka vituondoke haraka...ni kanuni ya kiasili ya binadamu
Hakuna kidumucho milele, hatua sita za uumbaji huzunguka kwenye gurudumu lisilo na mwisho...
KUMBUKA: ZIJAPOPITA SIKU ZA FURAHA USIHUZUNIKE BALI UFURAHI KWAKUWA ZILIKUWEPO
Ishi kwa tafakuri kuu...Alamsiki...!!!
sir mshana Jr bigup brother
 
....zijapopita siku za furaha tusihuzunike bali tufurahi kwakuwa zilikuwepo na zitarudi tena...hakuna kidumucho milele iwe furaha ama huzuni kushuka au kupanda, kukwama au kufanikiwa. ...
Shukran mkuu kwa neno hili limenitia sana nguvu asubuhi ya leo ninapopita ktk kipindi kigumu sana.nayakumbuka maneno mengine ambayo huwa unapenda kuyatumia"wakati sio Milele"ubarikiwe.
 
Stages!
hapo mwanzo pia wanasayansi walijua mimba hutungwa ikiwa ktk umbo kamili la kibinadam!hawakujua kukusu stages kwamba manii ikiingia huanza na tone la damu kisha pande la nyama hadi kuja kutokea kiumbe chenye muonekano wa kibinadamu.
Kuna kitu me na nyie hatukifahamu je mungu hadi sasa bado anaumba binadam na kuwapulizia pumzi kama alivyofanya kwa adam?!adam alimuumba kwa mikono je mimba za sasa anaumba hivyohivyo au photocopy?!kila mtu na uelewa wake ila me naamini haumbi kama alivyofanya kwa adam isipokuwa ameshaweka hichi kitu aumatomatic kinachojiendesha chenyewe.yeye ndo mjuzi zaidi na ndio anajua zaidi sisi ametutaka tutafte elimu ikiwemo kuuliza mambo haya yasiyokuwa na majibu
ANALOGY OF THE WATCH-MAKER!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom