NgimbaErick
Member
- Mar 31, 2020
- 85
- 131
- Thread starter
- #41
Kwa technology ya sasa. huitaji kujua languages, ili kujenga website nzuri ... japokuwa kama unataka kufanya vitu more advanced ni vema ukawa na knowledge kidogo ya hizo language ili hata kama ukitaka kucopy na kupaste code kwa ajili ya kuiongezea kwenye web yako basi uwe unajua unachofanya.Boss lakin c mpaka uwe unajua language kam Javascrpt html css