Sawa sawa, hawakosekanagi watu hao kwenye jamii.Web developer naona wanakudis sana usivunjike moyo
Nashukuru kusikia hivyoBrooo nimejifunza mengi kutoka kwako broooo
Asante sanaKazi nzuri Erick
Sawa sawa, hawakosekanagi watu hao kwenye jamii.
Inaonekana hujasoma vizuri hiyo nakala au hujaelewa, mimi nimeonesha hatua za kutengeneza website yenye thamani kubwa, nia ni kusaidia watu wanaoshughulika na masuala ya kufanya web design, kujua namna ambavyo wanaweza kutengeneza website ambazo wanaweza kumchaji mteja kwa gharama ya juu zaidi, bila kikwazo.bro sio kama umedisiwa ila unawekwa sawa hicho ulichoweka sio website ambayo ina kuuingizia pesa bali content ya ulichokiweka ndo kinachokuingizia pesa. je unajua njia zinazofanya uingize pesa kupitia website?
Inawezekana kinachoongelewa hukifahamu kabisa, soma vizuri utaelewa. Ila somo linawahusu Website Designers wanaotamani kuuza Websites kwa Gharama za juu zaidi.Mbona heading na content ni vitu viwili tofauti au mimi ndo hazipandi!
Inawezekana kinachoongelewa hukifahamu kabisa, soma vizuri utaelewa. Ila somo linawahusu Website Designers wanaotamani kuuza Websites kwa Gharama za juu zaidi.
Umezungumz vyema ila kwa sisi ambao bado hatuelew kitu aisee
Kwa mfano
Kuanz kutumia figma, hizo design tools
Ne unayakusanya vip mafaili??
Me nachokumbk ukiend kucreat website kwa online WordPress wao ndio wanaokupa templates
Sasa hii unaiingiz vp?
Acha uchawi wewe katengeneze thread yako nawewe ujitangaze, unatoa hoja za kipuuzi tu lengo lako nini Sasa Kama unaona hayupo sawa muelekeze sio hizo negativity zakoBaada ya kuitembelea tovuti na nikiangalia hii post nimegundua kuwa unafanya MARKETING ila bandiko lina upotoshaji (sina lengo la kukuaribia biashara)
una IDs ngapi ?Nimechopenda kutoka kwa Erick na nimeingia kwenye website yake anakuweka wazi mteja kwamba natumia WordPress katika kuijenga website yako.