Baba Kapompo
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 1,344
- 468
Mtu na Mkewe walikuwa
bado wamelala asubuh,m2
akabisha hod mke akaenda kufungua mlango na
kukuta kumbe alikuwa n mchepuko wake.
Mke:unataka nn We Mpumbav?
Mume:nan Hyo Unam2kan
Mke;kuna mtu anakichwa km nenda urudi baadae..
Mchepuko;na Ww Pua Km Poa!
Mke;miguu km maxaa2 urud.
Mchepuko;maskio km sichelew sana.
Mke;ondoka Hpa Mjinga Ww...
Akafungua Mlango Mume"mwambie Ana Macho
Kama Ctok Leo Ng'ooo .... ..
bado wamelala asubuh,m2
akabisha hod mke akaenda kufungua mlango na
kukuta kumbe alikuwa n mchepuko wake.
Mke:unataka nn We Mpumbav?
Mume:nan Hyo Unam2kan
Mke;kuna mtu anakichwa km nenda urudi baadae..
Mchepuko;na Ww Pua Km Poa!
Mke;miguu km maxaa2 urud.
Mchepuko;maskio km sichelew sana.
Mke;ondoka Hpa Mjinga Ww...
Akafungua Mlango Mume"mwambie Ana Macho
Kama Ctok Leo Ng'ooo .... ..