Hatma ya ronaldo

Hatma ya ronaldo

CR7 akistaafu soka atanenepeana na ndo utakuwa mwanzo wa magonjwa ya ovyo.

Nashauri aendelee kucheza kama Kuna timu inamhitaji maana kwa timu za kati bado jamaa anasumbua sana.
Ba ako hachezi kanenepa kwani anakula starch kama ww eti anamshauri Ronaldo aina ya menu
 
Back
Top Bottom