Ronaldo awalilia wananchi wa Gaza

Ronaldo awalilia wananchi wa Gaza

nguvu

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2013
Posts
24,380
Reaction score
24,119
C.RONALDO AUZA KIATU CHAKE CHA DHAHABU KWA AJILI YA KUISAIDIA GAZA (PALESTINE)

"C.RONALDO ASEMA, SIO LAZIMA UWE MUISLAM ILI KUITETEA GAZA BAADA YA KUKATAA KUBADILISHA JEZI KATIKA MECHI DHIDI YA ISRAEL"

Nguli wa mpira wa miguu katika timu ya R.Madrid alilia kwa machozi yasiokifani baada ya kuona matendo ya kinyama yanayofanywa na Israel hasa pale wanapouawa kina mama na watoto wasio na hatia.. Katika mechi za kufuzu kucheza fainali za kombe la dunia Ronaldo alikutana na kocha wa Telaviv ya Israel na kumuonyeshea chuki ya dhahiri juu ya yale yanayoendelea Palestine.. Pia Ronaldo alikataa kubadilishana jezi na miongoni mwa wachezi wa timu hiyo.. Uchungu huo umemfanya Ronaldo auze kiatu chake cha dhahabu alichotunukiwa kama mchezaji bora wa dunia mwaka jana kwa thamani ya Pauni Milioni 1 ambayo ni sawa na bilioni 2, milioni 840,laki 2 na elfu 4971 (2,840,204,971) ili kuwasaidia Gaza.... Baada ya kuona mchango wa Ronaldo wachezaji kama Erden Hazard, Erick Cantona na Fredrick Kanoute nao pia waliambatana nae..
C.Ronaldo pia akasisitiza kwa kusema, "Sio lazima uwe muislam kuitetea Palestine na akaongeza kwa kusema WALAANIWE WA ISRAEL NA WAANGAMIE"

Kwa taarifa kamili...http://www.ibtimes.co.uk/christian-ronaldo-pro-palestine-footballers-israel-
 
Huu ndo mwisho wa christiano...we wil mis u bro...hw dare yuuuuuuuuuuu.
 
Huu ndo mwisho wa christiano...we wil mis u bro...hw dare yuuuuuuuuuuu.

Mwisho wake kwenye nini? Asiseme ukweli kwamba wanaouliwa watu ambao hawana hatia? Acha chuki ndugu ni mbaya mno


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Kajilaani mwenyewe, hapo kaanza kuuza kiatu,atakuja kwenye nyumba zake alizopangsha,gari n.k.
Kwa maana kipimo unachopima kumuhukumu mwenzio,ndicho hicho utakachopimiwa.
 
Mwisho wake kwenye nini? Asiseme ukweli kwamba wanaouliwa watu ambao hawana hatia? Acha chuki ndugu ni mbaya mno


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Sina chuki ndugu..ithink christiano yuko kwenye position nzuri atleast he could be heard isaid atleast kama angeamua kuraise his voice..tatizo watu ili tatizo mnalichukulia ki upande and not as a whole...hivi unadhani zile rocket zinazorushwa kutoka gaza ni za nini.?do think they are gift boxes for jews.?do u thnk they dont die because of the rockets?hivi hao magaidi wa hamas mpaka leo hii wanavorusha hzp roclets u think thy do it fo fun.?asiye kua na utu ni nani kati yangu na wwe.?ronaldo alipashwa kukemea na si kuegemea upande mmoja as both sides ar suffering..now christiano kawaongezea hela magaidi wa hamas wanunue rocket nyingine waue wamama na watoto wa israel.!!is that wat pleases u your hounor.??
 
Back
Top Bottom