Wakuu Jana Christian Ronaldo katoa tamko baada ya kutamatika mechi kati ya timu yake ya Al nassri na Al fateh ambapo Al nassri alilala 3-2
Kauli Ile inaonyesha kuwa ni mwisho WA maisha ya nguli huyo pale al nassri je wapi tunatazamia kumuona akienda Kukipiga baada ya kuondoka aL nassri na sisi Kam wadau WA soka tunapenda kumshauri Nini au tuseme imetosha
Maan football haimdai akiwa kama 2nd goat🤣🤣🤣🤣🤣