Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,566
Mrithi wa jk ni lowasa anafaaa sana
Ikulu siyo pango la mafisadi tunataka raisi mwadilifu .
Mrithi wa jk ni lowasa anafaaa sana
Ukitoa post,at least jaribu kuandika vizuri.Sentensi umeanza na herufi ndogo,hakuna koma wala nukta mwisho wa sentensi.Sipendi kuamini kama na wewe umemaliza shule za kata.mnaona watu waliobobea kuelezea kitu mpaka kinasisimua
wale wa chadema (ccc)chadema cha chakavu wanaishia kusema hovyo wamepagawa
kama alivyosema mzee mkapa katika moja ya hotuba yake makini aliyoitoa mwishoni mwa miaka ya 2004 ambayo imenukuliwa katika vyombo mbalimbali vya habari na katika jarida la mzalendo la chama cha mapinduzi, kuwa ccm ikipiga chafya wengine wote wanapata homa"
ukweli huo umebaki hivyo na utabaki hivyo milele kuwa ccm ndio baba ndio mama wa nchi hii, ni ccm pekee yenye kuweza kufanya uamuzi wa dhati wa hatma na mustakabali wa nchi.
Ccm inakutana wiki hii mjini dodoma kufanya maamuzi ya hatma ya nchi, kuamua nani anakuja kuwa mrithi wa jakaya, nani anakuwa rais wa awamu ya tano, maana ukweli ni kuwa mgombea wa ccm ndio rais wa tanzania kwani hakuna chama wala kikundi cha walafi kinachoweza kutoa rais ama chenye uhakika wa kupata hata wabunge 20 katika uchaguzi wa 2015.
Wananchi, vyombo vyote vya habari na vyama vya siasa wooote masikio yao yameelekezwa dodoma kusikiliza nini ccm inataka kuamua, ndio ni kwa sababu ccm ndio baba wa taifa hili na maamuzi ya baba ni maamuzi ya familia nzima, ccm ikiamua taifa limeamua.
Kama alivyosema Mzee Mkapa katika moja ya hotuba yake makini aliyoitoa mwishoni mwa miaka ya 2004 ambayo imenukuliwa katika vyombo mbalimbali vya habari na katika jarida la Mzalendo la Chama Cha Mapinduzi, kuwa CCM ikipiga chafya wengine wote wanapata homa"
Ukweli huo umebaki hivyo na utabaki hivyo milele kuwa CCM ndio Baba ndio Mama wa nchi hii, ni CCM pekee yenye kuweza kufanya uamuzi wa dhati wa hatma na mustakabali wa nchi.
CCM inakutana wiki hii mjini Dodoma kufanya maamuzi ya hatma ya nchi, kuamua nani anakuja kuwa mrithi wa Jakaya, nani anakuwa Rais wa awamu ya tano, maana ukweli ni kuwa mgombea wa CCM ndio Rais wa Tanzania kwani hakuna Chama wala kikundi cha walafi kinachoweza kutoa Rais ama chenye uhakika wa kupata hata wabunge 20 katika uchaguzi wa 2015.
Wananchi, vyombo vyote vya habari na vyama vya siasa wooote masikio yao yameelekezwa Dodoma kusikiliza nini CCM inataka kuamua, ndio ni kwa sababu CCM ndio baba wa Taifa hili na maamuzi ya baba ni maamuzi ya Familia nzima, CCM ikiamua Taifa limeamua.
Heshima yako mkuu hawa wachovu wanajua watanzania wale ni wale miaka 1995 wanajidanganya sana watanzania wa leo wanajua kila kitu wizi wao na ufisadi umesababisha huduma mbovu na ugumu wa maisha kwa kila mtanzania hiyo ishara tosha kwa watanzania kuamua kufanya mabadiliko makubwa kwa kuiondoa madarakani serikali ya ccm.
Kama alivyosema Mzee Mkapa katika moja ya hotuba yake makini aliyoitoa mwishoni mwa miaka ya 2004 ambayo imenukuliwa katika vyombo mbalimbali vya habari na katika jarida la Mzalendo la Chama Cha Mapinduzi, kuwa CCM ikipiga chafya wengine wote wanapata homa"
Ukweli huo umebaki hivyo na utabaki hivyo milele kuwa CCM ndio Baba ndio Mama wa nchi hii, ni CCM pekee yenye kuweza kufanya uamuzi wa dhati wa hatma na mustakabali wa nchi.
CCM inakutana wiki hii mjini Dodoma kufanya maamuzi ya hatma ya nchi, kuamua nani anakuja kuwa mrithi wa Jakaya, nani anakuwa Rais wa awamu ya tano, maana ukweli ni kuwa mgombea wa CCM ndio Rais wa Tanzania kwani hakuna Chama wala kikundi cha walafi kinachoweza kutoa Rais ama chenye uhakika wa kupata hata wabunge 20 katika uchaguzi wa 2015.
Wananchi, vyombo vyote vya habari na vyama vya siasa wooote masikio yao yameelekezwa Dodoma kusikiliza nini CCM inataka kuamua, ndio ni kwa sababu CCM ndio baba wa Taifa hili na maamuzi ya baba ni maamuzi ya Familia nzima, CCM ikiamua Taifa limeamua.
Mzee umeandika vitu vya kufikirika mno aisee...
Macho yameelekea Dodoma nini? Huyu Juliana atoke tu. C. C. M.
Juliana Shonza
Laiti ungejua huku mtaani palivyobadilika usingesema hivyo
Laiti ungejua kuwa mtu anayeonekana ni CCM anatazamwa vipi mtaani usingesema hivyo.
Laiti ungejua kuwa huu ni mwaka 2015 na sio 2004 usingeropoka hivyo
Hata hivyo...kwa minajili ya kujifariji unaruhusiwa kuongea chochote
My dear...Times have changed.....Things are no longer at ease
Ninakumbuka kabisa Kuwa huyu katoka CDM muda si mrefu na anaujua UKWELI sema kaamua kujitoa ufahamu. Ngoja apuyangeJuliana Shonza
Laiti ungejua huku mtaani palivyobadilika usingesema hivyo
Laiti ungejua kuwa mtu anayeonekana ni CCM anatazamwa vipi mtaani usingesema hivyo.
Laiti ungejua kuwa huu ni mwaka 2015 na sio 2004 usingeropoka hivyo
Hata hivyo...kwa minajili ya kujifariji unaruhusiwa kuongea chochote
My dear...Times have changed.....Things are no longer at ease
[/B]Halafu eti kesho unagombea ubunge unasema wanawake tunaweza angalia ulivyomtukuza Baba kwenye paragraph niliyo bold hovyo kabisa ww.