Hatma ya nchi chini ya CCM: Masikio yote Dodoma

Kama alivyosema Mzee Mkapa katika moja ya hotuba yake makini aliyoitoa mwishoni mwa miaka ya 2004 ambayo imenukuliwa katika vyombo mbalimbali vya habari na katika jarida la Mzalendo la Chama Cha Mapinduzi, kuwa CCM ikipiga chafya wengine wote wanapata homa"

Ukweli huo umebaki hivyo na utabaki hivyo milele kuwa CCM ndio Baba ndio Mama wa nchi hii, ni CCM pekee yenye kuweza kufanya uamuzi wa dhati wa hatma na mustakabali wa nchi.

CCM inakutana wiki hii mjini Dodoma kufanya maamuzi ya hatma ya nchi, kuamua nani anakuja kuwa mrithi wa Jakaya, nani anakuwa Rais wa awamu ya tano, maana ukweli ni kuwa mgombea wa CCM ndio Rais wa Tanzania kwani hakuna Chama wala kikundi cha walafi kinachoweza kutoa Rais ama chenye uhakika wa kupata hata wabunge 20 katika uchaguzi wa 2015.

Wananchi, vyombo vyote vya habari na vyama vya siasa wooote masikio yao yameelekezwa Dodoma kusikiliza nini CCM inataka kuamua, ndio ni kwa sababu CCM ndio baba wa Taifa hili na maamuzi ya baba ni maamuzi ya Familia nzima, CCM ikiamua Taifa limeamua.

Hawa ndio "THINK TANKS" wa CCM. Hivi hawa watu wakiendaga CCM wanapataga ugonjwa gani wa kushindwa kutumia japo 0.001% ya ubongo wao? halafu nasikia eti huyu dada ni graduate? kweli ama nakosea wandugu?!
 
Ule ukuu wa wilaya ulishapewa au bado unausitea kakutoa utamu kwa hao makada wa ccm angalia utakuwa rambo sasa
 
Hivi ile movie ya pale Temeke wakati Nambari one alipokwenda kukagua sehemu ya kutibu ebola ilikwenda vipi.Nilipoachia mtajwa alikwenda pale kapiga green basi Njemba akamtolea nje akasema hii sio mambo ya chama....potea !!!!!!!!
 
Nchi hii kuchukuliwa na ukawa ni sawa na mwanamkr kwenda aja ndogo akiwa amesimama
Hatuwezi kuwapa nchi wahuniii.
 
Tunakusubiri ACT - Wazalendo mamii... Hiyo CCM ndiyo inajizika rasmi, wahi viwanja wazi ACT.
 
Juliana Shonza Maskio ya watanzania yapo hapa:

"Mahakama ya Wilaya ya Karagwe imetengua ushindi wa viongozi 36 wa CCM walioshinda isivyo halali baada ya wagombea wote wa Chadema kuondolewa kimizengwe na CCM kupita bila kupingwa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka jana".
 
HAKUNA UTEKELEZAJI MAAZIMIO KAMATI YA BUNGE SAKATA LA RICHMOND

HAKUNA UTEKELEZAJI MAAZIMIO YA KAMATI YA BUNGE SAKATA LA OPERESHENI ZA KAGASHEKI

HAKUNA UTEKELEZAJI MAAZIMIO YA KAMATI YA BUNGE SAKATA LA ESCROW

Zaidi mnafika na swaga za kugoma masharti magumu ya nchi wahisani kwa sababu walishinikiza mjadala wa sakata la ESCROW. CCM "The Dream Team" Inayoshikamana Wakati wa Mavuno" hawapaswi kupewa japo masaa kuendeleza visa na vioja vya Chenge na wenzake.

Amini usiamini mtanzania mwenzangu gharama za umeme zitashuka kwa kiasi fulani ikiwa mitego iliyotegeshwa katika mikataba kati ya TANESCO na IPTL/DOWANS/SONGAS iliyowekwa kwa maslahi ya makada wa CCM itatenguliwa.
Haitoweza kutenguliwa ikiwa CCM itarejea madarakani

Halafu wanawahi kujitoa ufahamu kudai kuwa tusipangiwe cha kufanya vinginevyo msilete hela zenu. Wakupe hela zao ziibiwe wakikukomalia uzifuatilie unadai unapangiwa!
 
Wewe mtoto bakisha maneno! uchaguzi wa 2015 unakuja kivingine ,umejaa wapiga kura werevu wanaojua kujinunulia mashati ,kanga,fulana na kofia zao wenyewe sio kupewa na CCM,wanaojua na kuweza kujipikia pilau yao wenyewe si kusubiri kupewa na CCM!uchaguzi huu umejaa wapiga kura wanabeba hatma ya maisha yao ya kisiasa kiuchumi mikononi mwao,sio kuimbishwa ahadi za kipuuzi na uongo hata mbuzi na paka hawaziamini!
 
Kama alivyosema Mzee Mkapa katika moja ya hotuba yake makini aliyoitoa mwishoni mwa miaka ya 2004 ambayo imenukuliwa katika vyombo mbalimbali vya habari na katika jarida la Mzalendo la Chama Cha Mapinduzi, kuwa CCM ikipiga chafya wengine wote wanapata homa"

Ukweli huo umebaki hivyo na utabaki hivyo milele kuwa CCM ndio Baba ndio Mama wa nchi hii, ni CCM pekee yenye kuweza kufanya uamuzi wa dhati wa hatma na mustakabali wa nchi.

CCM inakutana wiki hii mjini Dodoma kufanya maamuzi ya hatma ya nchi, kuamua nani anakuja kuwa mrithi wa Jakaya, nani anakuwa Rais wa awamu ya tano, maana ukweli ni kuwa mgombea wa CCM ndio Rais wa Tanzania kwani hakuna Chama wala kikundi cha walafi kinachoweza kutoa Rais ama chenye uhakika wa kupata hata wabunge 20 katika uchaguzi wa 2015.

Wananchi, vyombo vyote vya habari na vyama vya siasa wooote masikio yao yameelekezwa Dodoma kusikiliza nini CCM inataka kuamua, ndio ni kwa sababu CCM ndio baba wa Taifa hili na maamuzi ya baba ni maamuzi ya Familia nzima, CCM ikiamua Taifa limeamua.

Masikio yako sio masikio yote, we vipi bhana???
 
Mawazo haya siyapendi kutoka ndani kabisa ya uti wangu wa mgongo. Message iliyomo ndani ya thread hii ni ya majigambo,majivuno na kiburi kilichopindukia.Kiburi hiki kinaashiria mufilisi wa mawazo na fikra na mwisho wa kile unachojivunia.
Kama alivyosema Mzee Mkapa katika moja ya hotuba yake makini aliyoitoa mwishoni mwa miaka ya 2004 ambayo imenukuliwa katika vyombo mbalimbali vya habari na katika jarida la Mzalendo la Chama Cha Mapinduzi, kuwa CCM ikipiga chafya wengine wote wanapata homa"

Ukweli huo umebaki hivyo na utabaki hivyo milele kuwa CCM ndio Baba ndio Mama wa nchi hii, ni CCM pekee yenye kuweza kufanya uamuzi wa dhati wa hatma na mustakabali wa nchi.

CCM inakutana wiki hii mjini Dodoma kufanya maamuzi ya hatma ya nchi, kuamua nani anakuja kuwa mrithi wa Jakaya, nani anakuwa Rais wa awamu ya tano, maana ukweli ni kuwa mgombea wa CCM ndio Rais wa Tanzania kwani hakuna Chama wala kikundi cha walafi kinachoweza kutoa Rais ama chenye uhakika wa kupata hata wabunge 20 katika uchaguzi wa 2015.

Wananchi, vyombo vyote vya habari na vyama vya siasa wooote masikio yao yameelekezwa Dodoma kusikiliza nini CCM inataka kuamua, ndio ni kwa sababu CCM ndio baba wa Taifa hili na maamuzi ya baba ni maamuzi ya Familia nzima, CCM ikiamua Taifa limeamua.
 
Kama alivyosema Mzee Mkapa katika moja ya hotuba yake makini aliyoitoa mwishoni mwa miaka ya 2004 ambayo imenukuliwa katika vyombo mbalimbali vya habari na katika jarida la Mzalendo la Chama Cha Mapinduzi, kuwa CCM ikipiga chafya wengine wote wanapata homa"

Ukweli huo umebaki hivyo na utabaki hivyo milele kuwa CCM ndio Baba ndio Mama wa nchi hii, ni CCM pekee yenye kuweza kufanya uamuzi wa dhati wa hatma na mustakabali wa nchi.

CCM inakutana wiki hii mjini Dodoma kufanya maamuzi ya hatma ya nchi, kuamua nani anakuja kuwa mrithi wa Jakaya, nani anakuwa Rais wa awamu ya tano, maana ukweli ni kuwa mgombea wa CCM ndio Rais wa Tanzania kwani hakuna Chama wala kikundi cha walafi kinachoweza kutoa Rais ama chenye uhakika wa kupata hata wabunge 20 katika uchaguzi wa 2015.

Wananchi, vyombo vyote vya habari na vyama vya siasa wooote masikio yao yameelekezwa Dodoma kusikiliza nini CCM inataka kuamua, ndio ni kwa sababu CCM ndio baba wa Taifa hili na maamuzi ya baba ni maamuzi ya Familia nzima, CCM ikiamua Taifa limeamua.

Ukuu wa wilaya bado unautaka kwani?
 
...roho mbaya na arrogance ya namna hii kwenye nchi (na chama-ccm) inayojinasibu kuwa eti ni ya kidemokrasia haitakiwi na huu ni mfano hai wa fikra za walio wengi huko ccm...Kwamba hatma ya nchi hii eti wanayo wao kwa namna yoyote ile.....Mawazo kama haya kwenye nchi ya kidemokrasia yanatosha kabisa kukinyim chama fursa ya kuongoza taifa...maana ni mawazo yenye kuonyesha ubinafsi uliozidi mipaka na hayakubaliki katika mataifa yenye kujinadi kufata demokrasia.....Haya ni mawazo ya chama chenye kutawala kidikteta na yamechangia kuviangusha vyama vingi madarakani........mfano mzuri ni hapo Kenya tu enzi ya KANU ya Moi.....Kweli sikio la kufa huwa halisikii dawa....

Mkuu wala usipate shida! Ni mawazo yake wala sio ya chama. Unajua watu wengine ni zero kabisa, huwezi kuandika maneno kama ya Shonza ukaonekana wa kawaida, lazima kuna shida mahali!

Huu ni ulimbuken na kutokujitambua. Shonza ni kama ameachika, na ana vurugu za maono!
 
Unajua shida ya kujenga hoja ukiwa umelala kitandani ndiyo kama hii......Mara zote hoja za dizaini hiyo zinakuwa tofauti sana na uhalisia.....

Utajuta sana ukija kusoma hiki ulichokiandika baada ya January mwakani..

Bora kitandan, atakua alikua chooni!
 
Hata kama ccm ingekuwa ICU bado itapewa nchi maana hakuna chama chochote cha upinzani chenye hadhi, sera, mfumo wenye kukidhi matakwa ya kupewa nchi. vyama vyetu vya upinzani vimeanzishwa katika misingi ya ub...inafsi na vinaendeshwa kwa misingi hiyo hiyo so they are good to continue being oposition.

Sio tatizo lako kuandika haya, tatizo ni "mind set" yako mbovu. Katafute maana yake!
 
Aise ukweli mgumu kumeza kama mhadarati,CDM mwaka huu yaweza kupata nishani ya matusi,maana mmebobea,tupa mzee akatibiwe maana anaumwa safura......nawatania cdm mtachukua ile tz ya matete hahahahha tetetetet ila Gwajima kawatabiria labda!!!!

Mnapoandika hebu muwe na mawasiliano na akili zenu jaman! Hapa umechangia nini mkuu kwenye hii mada?
 
Back
Top Bottom