Hatma ya nchi chini ya CCM: Masikio yote Dodoma

Hatma ya nchi chini ya CCM: Masikio yote Dodoma

Juliana Shonza

Kwani mpaka sasa hivi bado huna habari kuwa mwaka huu ni kinyume chake masikio ya wananchi na wandishi wa habari yameelekezwa Dodoma kusikilizia kifo cha CCM na wandishi wa habari wametega kamera zao kupiga picha kaburi la CCM.

Mwaka huu CCM inakwenda Dodoma kujikaanga kwa mafuta yake yenyewe,inakwenda Dodoma kujichimbia kaburi yenyewe,na ina kwenda Dodoma kujizika yenyewe.
Mzee umeandika vitu vya kufikirika mno aisee...
 
CCM ni baba kwenu nyie ambao kula yenu inatoka huko. Kwa sie ambao tunajihangaikia wenyewe na kula yetu kwa taabu za hilo li chama lenu usitupigie kelele. Tunasubiria kwa hamu hiyo octoba kmya kmya bila kelele. Nyie jifurahisheni na kujifariji tu....
 
Kama alivyosema Mzee Mkapa katika moja ya hotuba yake makini aliyoitoa mwishoni mwa miaka ya 2004 ambayo imenukuliwa katika vyombo mbalimbali vya habari na katika jarida la Mzalendo la Chama Cha Mapinduzi, kuwa CCM ikipiga chafya wengine wote wanapata homa"

Ukweli huo umebaki hivyo na utabaki hivyo milele kuwa CCM ndio Baba ndio Mama wa nchi hii, ni CCM pekee yenye kuweza kufanya uamuzi wa dhati wa hatma na mustakabali wa nchi.

CCM inakutana wiki hii mjini Dodoma kufanya maamuzi ya hatma ya nchi, kuamua nani anakuja kuwa mrithi wa Jakaya, nani anakuwa Rais wa awamu ya tano, maana ukweli ni kuwa mgombea wa CCM ndio Rais wa Tanzania kwani hakuna Chama wala kikundi cha walafi kinachoweza kutoa Rais ama chenye uhakika wa kupata hata wabunge 20 katika uchaguzi wa 2015.

Wananchi, vyombo vyote vya habari na vyama vya siasa wooote masikio yao yameelekezwa Dodoma kusikiliza nini CCM inataka kuamua, ndio ni kwa sababu CCM ndio baba wa Taifa hili na maamuzi ya baba ni maamuzi ya Familia nzima, CCM ikiamua Taifa limeamua.

Hivi ulikuwa wapi wakati mkuu anagawa ukuu wa wilaya,mikoa,na wabunge wa kuteuliwa,?au bado huaminiki ndani ya CCM?
 
Utajua tu binti alietoka kupigwa mtungo usiku,dah sijui kala maharage ya wapi huyu
 
Huyu Juliana ni pathologic liar. Anasema C. C. M ni. Baba wa Taifa . Huyu alifukuzwa jf kwa kuandika uongo. Sasa tutazame alivyoandika tuone kama hajasema uongo tena. Anasema. C. C itakutana Dodoma wiki hii. Ni wiki hii au ni wiki ijayo?
 
Nadhani unapaswa kujisaili mara mbili kabla haujaanza kujiingiza katika jambo ambalo si tu litashusha hadhi yako lakini pia litaaibisha nasaba yako, tunaheshimu sana jina la Nyerere, heshima hiyo inatuzuia kuongea lolote lenye ukakasi, si kwake tu bali kwa yeyote wa nasaba yake..ni heshima tuliyoitengeneza na kuamua kuifuata wenyewe..

Nadhani kwa maandishi yako, unataka kujibiwa na Mimi, na nitakujibu nikiona inafaa.
 
Huyu Juliana ni pathologic liar. Anasema C. C. M ni. Baba wa Taifa . Huyu alifukuzwa jf kwa kuandika uongo. Sasa tutazame alivyoandika tuone kama hajasema uongo tena. Anasema. C. C itakutana Dodoma wiki hii. Ni wiki hii au ni wiki ijayo?

Ikiwa sio week hii tunaomba moderators watende haki....apigwe ban hata ya miezi 6!

Uzuri wa CCM ukishaonekana ww ni.msaliti huwa hawakupi chance kwny chama chao, huyu Juliana Shonza hata afurukute hawezi kupata hata uenyekiti wa kijiji!
 
Last edited by a moderator:
Juliana mimi nakufaham vizuri sana,kama ningeweka jina langu halisi hapa ungekubali kwamba kweli nakufaham.Hiki ulichokiandika ndio saizi ya uelewa wako,yaani hapa ndo umetumia maximum resource ya akili yako yote kichwani.Hivi ndivyo ulivyo,hapo ndipo uwezo wako unapoishia,atakaekulaum kwa bandiko hili atakulaum tu kwa vile hakufaham,kwa mimi ninayekufaham,sikulaum maana wewe ndugu yangu uko tayari hata kuuza naniliii yako kwa ajili ya mkwanja.Ndivyo ulivyo,tangu tuko mabibo hosteli,tangu tunafanya harakati za Chaso hadi sasa uko magambani,nakufaham ndivyo ulivyo.
 
Eti mwaka huu hata wabunge 20 upinzani hawatapata? Kweli Juliana umeisha kifikra. Ebu husianisha uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu ndiyo utapata ukweli halisi. Halafu achana na fikra za mfumo dume, eti kila kitu Baba akisema, hivi hujui kama kuna familia zinaendeshwa na Mama?
 
Kama alivyosema Mzee Mkapa katika moja ya hotuba yake makini aliyoitoa mwishoni mwa miaka ya 2004 ambayo imenukuliwa katika vyombo mbalimbali vya habari na katika jarida la Mzalendo la Chama Cha Mapinduzi, kuwa CCM ikipiga chafya wengine wote wanapata homa"

Ukweli huo umebaki hivyo na utabaki hivyo milele kuwa CCM ndio Baba ndio Mama wa nchi hii, ni CCM pekee yenye kuweza kufanya uamuzi wa dhati wa hatma na mustakabali wa nchi.

CCM inakutana wiki hii mjini Dodoma kufanya maamuzi ya hatma ya nchi, kuamua nani anakuja kuwa mrithi wa Jakaya, nani anakuwa Rais wa awamu ya tano, maana ukweli ni kuwa mgombea wa CCM ndio Rais wa Tanzania kwani hakuna Chama wala kikundi cha walafi kinachoweza kutoa Rais ama chenye uhakika wa kupata hata wabunge 20 katika uchaguzi wa 2015.

Wananchi, vyombo vyote vya habari na vyama vya siasa wooote masikio yao yameelekezwa Dodoma kusikiliza nini CCM inataka kuamua, ndio ni kwa sababu CCM ndio baba wa Taifa hili na maamuzi ya baba ni maamuzi ya Familia nzima, CCM ikiamua Taifa limeamua.
Wewe sema sisiem ndio ina mizengwe kabambe ya kutumia ujinga na njaa za watu vizuri
 
Kama alivyosema Mzee Mkapa katika moja ya hotuba yake makini aliyoitoa mwishoni mwa miaka ya 2004 ambayo imenukuliwa katika vyombo mbalimbali vya habari na katika jarida la Mzalendo la Chama Cha Mapinduzi, kuwa CCM ikipiga chafya wengine wote wanapata homa"

Ukweli huo umebaki hivyo na utabaki hivyo milele kuwa CCM ndio Baba ndio Mama wa nchi hii, ni CCM pekee yenye kuweza kufanya uamuzi wa dhati wa hatma na mustakabali wa nchi.

CCM inakutana wiki hii mjini Dodoma kufanya maamuzi ya hatma ya nchi, kuamua nani anakuja kuwa mrithi wa Jakaya, nani anakuwa Rais wa awamu ya tano, maana ukweli ni kuwa mgombea wa CCM ndio Rais wa Tanzania kwani hakuna Chama wala kikundi cha walafi kinachoweza kutoa Rais ama chenye uhakika wa kupata hata wabunge 20 katika uchaguzi wa 2015.

Wananchi, vyombo vyote vya habari na vyama vya siasa wooote masikio yao yameelekezwa Dodoma kusikiliza nini CCM inataka kuamua, ndio ni kwa sababu CCM ndio baba wa hili na maamuzi ya baba ni maamuzi ya Familia nzima, CCM ikiamua Taifa limeamua.
mkuu nakuunga mkono Kabisa maana mchawi aliyewaroga watanzania bado hajafa, otherwise ccm haina hadhi tena na imeshindwa Kabisa kuongoza nchi hii zaidi ya kubaki kama kichaka cha wezi na wahujumu uchumi wa nchi yetu
 
Mzee umeandika vitu vya kufikirika mno aisee...

Ha ha ha Mtela habari za siku nyingi bwana,vipi Zambi ameshakurudishia ubunge wako uliokuwa unazunguka Vwawa na vitongoji vyake ukitangaza kuwa Zambi alikuchakachua ubunge?.

Vipi bado unampango wa kwenda Mbozi kugombea ubunge kupitia chama cha vitunguu swaum?.

Na unakielezaje kichapo cha uchaguzi wa serekali za mitaa mlichokipata pale masikani Mlowo na mitaa ya pale Vwawa?.

Huoni kuwa kichapo hiki ndio mwendelezo wa kile kichapo kitakachoendelea kwa CCM hadi ngazi ya Taifa?.
 
tulihesabu Miaka imepita, sasa tunahesabu Miezi itaisha, kisha tutahesabu Wiki nazo zitaisha, hatimaye tutahesabu siku nazo zitakamilika, mwiso kabisa tutahesabu Masaa nayo yatayoyoma. Hatimaye kila kitu kitakuwa wazi, tutajua chama kipi ni bora zaidi, Mgombea yupi amefanikiwa. Utawadia wakati wa kufanya tathmini na kuubaini ukweli!! Mungu atuepushe na shari, heri itamalaki kwa kadiri ya mapenzi yake!
 
Ukweli mchungu. CCM tunaenda kuwasilisha rasimu ya ilani ya chama kwa mwaka 2015 - 2020. Hawa wengine hata makubaliano ya pamoja hawana. Sijui wataenda kuwaambia nini wananchi. Naona hata kwenye bunge hili linaloendelea wao wanalalamika tu na hawasemi watawafanyia nini wananchi
 
Maamuzi yao yatakuwa na mambo mawili either kupasuka pasuka kwa chama au kuimarika zaidi
  1. kitapasuka pasuka vipande vipande iwapo hawatampitisha LOWASA kama flag barrier wao,na
  2. kitakwisha zaidi kama watarudi kusini wakidhani wanatanzania wako miaka 50 nyuma
  3. the only way ni kumsimamisha LOWASA kuondoa aibu ya miaka 54
 
Back
Top Bottom