Hatma ya nchi chini ya CCM: Masikio yote Dodoma

Hatma ya nchi chini ya CCM: Masikio yote Dodoma

Una uhakika kama ccm itaishi milele? Tumia ubongpp wako vizuri wewe!! Unadhani miaka ya 2004 ni ya sasa hivi?
 
Kama alivyosema Mzee Mkapa katika moja ya hotuba yake makini aliyoitoa mwishoni mwa miaka ya 2004 ambayo imenukuliwa katika vyombo mbalimbali vya habari na katika jarida la Mzalendo la Chama Cha Mapinduzi, kuwa CCM ikipiga chafya wengine wote wanapata homa"

Ukweli huo umebaki hivyo na utabaki hivyo milele kuwa CCM ndio Baba ndio Mama wa nchi hii, ni CCM pekee yenye kuweza kufanya uamuzi wa dhati wa hatma na mustakabali wa nchi.

CCM inakutana wiki hii mjini Dodoma kufanya maamuzi ya hatma ya nchi, kuamua nani anakuja kuwa mrithi wa Jakaya, nani anakuwa Rais wa awamu ya tano, maana ukweli ni kuwa mgombea wa CCM ndio Rais wa Tanzania kwani hakuna Chama wala kikundi cha walafi kinachoweza kutoa Rais ama chenye uhakika wa kupata hata wabunge 20 katika uchaguzi wa 2015.

Wananchi, vyombo vyote vya habari na vyama vya siasa wooote masikio yao yameelekezwa Dodoma kusikiliza nini CCM inataka kuamua, ndio ni kwa sababu CCM ndio baba wa Taifa hili na maamuzi ya baba ni maamuzi ya Familia nzima, CCM ikiamua Taifa limeamua.
kauli zako zinaonyesha wazi huamini Mungu hata kidogo
 
haka kabinti ni empty headed.kapokapo kama kikaragosi.kuna mambo ya msingi ya kujadili jama ripoti ys cag krnyewe kanaleta utoto wake
 
Jipe muda utaelewa tu siyo lazima sasa hivi lakini baada ya oktoba tukutane hapa


Endelea kuvuta shuka hadi saa sita! maana kumekucha ila hujui kuwa giza limeondoka, na watanzania wapo kwenye nuru. Inasikitisha jinsi usivyoelewa kinachoendelea!
 
Back
Top Bottom