Hatma ya nchi chini ya CCM: Masikio yote Dodoma

Aise ukweli mgumu kumeza kama mhadarati,CDM mwaka huu yaweza kupata nishani ya matusi,maana mmebobea,tupa mzee akatibiwe maana anaumwa safura......nawatania cdm mtachukua ile tz ya matete hahahahha tetetetet ila Gwajima kawatabiria labda!!!!
 
Ccm ????hapana kwa sasa wameshashindwa na hawana uwezo Wa kutuongoza kwani tumechoka na ufisadi
 
Kama alivyosema Mzee Mkapa katika moja ya hotuba yake makini aliyoitoa mwishoni mwa miaka ya 2004 ambayo imenukuliwa katika vyombo mbalimbali vya habari na katika jarida la Mzalendo la Chama Cha Mapinduzi, kuwa CCM ikipiga chafya wengine wote wanapata homa"

Ukweli huo umebaki hivyo na utabaki hivyo milele kuwa CCM ndio Baba ndio Mama wa nchi hii, ni CCM pekee yenye kuweza kufanya uamuzi wa dhati wa hatma na mustakabali wa nchi.

CCM inakutana wiki hii mjini Dodoma kufanya maamuzi ya hatma ya nchi, kuamua nani anakuja kuwa mrithi wa Jakaya, nani anakuwa Rais wa awamu ya tano, maana ukweli ni kuwa mgombea wa CCM ndio Rais wa Tanzania kwani hakuna Chama wala kikundi cha walafi kinachoweza kutoa Rais ama chenye uhakika wa kupata hata wabunge 20 katika uchaguzi wa 2015.

Wananchi, vyombo vyote vya habari na vyama vya siasa wooote masikio yao yameelekezwa Dodoma kusikiliza nini CCM inataka kuamua, ndio ni kwa sababu CCM ndio baba wa Taifa hili na maamuzi ya baba ni maamuzi ya Familia nzima, CCM ikiamua Taifa limeamua.

Hivi kwa nini mnauza utu wenu kwa kiasi hiki?
 
ni kweli taifa la mafisadi, ila sio Taifa la watanzania.
ivi umeshamsikia mkapa akiiongelea ccm ya leo inayonuka kila harufu mbaya ya ukosefu wa maadili?
 
Aise ukweli mgumu kumeza kama mhadarati,CDM mwaka huu yaweza kupata nishani ya matusi,maana mmebobea,tupa mzee akatibiwe maana anaumwa safura......nawatania cdm mtachukua ile tz ya matete hahahahha tetetetet ila Gwajima kawatabiria labda!!!!

shida ya kutoka msalani bila kutawazwa
 
Kama alivyosema Mzee Mkapa katika moja ya hotuba yake makini aliyoitoa mwishoni mwa miaka ya 2004 ambayo imenukuliwa katika vyombo mbalimbali vya habari na katika jarida la Mzalendo la Chama Cha Mapinduzi, kuwa CCM ikipiga chafya wengine wote wanapata homa"

Ukweli huo umebaki hivyo na utabaki hivyo milele kuwa CCM ndio Baba ndio Mama wa nchi hii, ni CCM pekee yenye kuweza kufanya uamuzi wa dhati wa hatma na mustakabali wa nchi.

CCM inakutana wiki hii mjini Dodoma kufanya maamuzi ya hatma ya nchi, kuamua nani anakuja kuwa mrithi wa Jakaya, nani anakuwa Rais wa awamu ya tano, maana ukweli ni kuwa mgombea wa CCM ndio Rais wa Tanzania kwani hakuna Chama wala kikundi cha walafi kinachoweza kutoa Rais ama chenye uhakika wa kupata hata wabunge 20 katika uchaguzi wa 2015.

Wananchi, vyombo vyote vya habari na vyama vya siasa wooote masikio yao yameelekezwa Dodoma kusikiliza nini CCM inataka kuamua, ndio ni kwa sababu CCM ndio baba wa Taifa hili na maamuzi ya baba ni maamuzi ya Familia nzima, CCM ikiamua Taifa limeamua.

View attachment 253312
 
kama alivyosema mzee mkapa katika moja ya hotuba yake makini aliyoitoa mwishoni mwa miaka ya 2004 ambayo imenukuliwa katika vyombo mbalimbali vya habari na katika jarida la mzalendo la chama cha mapinduzi, kuwa ccm ikipiga chafya wengine wote wanapata homa"

ukweli huo umebaki hivyo na utabaki hivyo milele kuwa ccm ndio baba ndio mama wa nchi hii, ni ccm pekee yenye kuweza kufanya uamuzi wa dhati wa hatma na mustakabali wa nchi.

Ccm inakutana wiki hii mjini dodoma kufanya maamuzi ya hatma ya nchi, kuamua nani anakuja kuwa mrithi wa jakaya, nani anakuwa rais wa awamu ya tano, maana ukweli ni kuwa mgombea wa ccm ndio rais wa tanzania kwani hakuna chama wala kikundi cha walafi kinachoweza kutoa rais ama chenye uhakika wa kupata hata wabunge 20 katika uchaguzi wa 2015.

Wananchi, vyombo vyote vya habari na vyama vya siasa wooote masikio yao yameelekezwa dodoma kusikiliza nini ccm inataka kuamua, ndio ni kwa sababu ccm ndio baba wa taifa hili na maamuzi ya baba ni maamuzi ya familia nzima, ccm ikiamua taifa limeamua.

aina ya watu waliopo cdm kuchukua nchi ni ndoto ya ndaria labda waombe kundi la wanaccm wajimege wahamie huko
 
Hakuna mwanaCCM mwenye akili atakubali kwenda kujiunga na hawa wahuni..watu wa hovyo wanaoabudu utawala wa kiimla ndani ya Chama Chao.

Na ikiwa yupo mwanaCCM huyo, basi na hatma yake ya kisiasa itakuwa imefikia Tamati..?
 
Siasa bana...

Ndo maana Mzee Mengi alijisemeaga siasa ni mchezo mchafu...
 
Hakuna mwanaCCM mwenye akili atakubali kwenda kujiunga na hawa wahuni..watu wa hovyo wanaoabudu utawala wa kiimla ndani ya Chama Chao.

Na ikiwa yupo mwanaCCM huyo, basi na hatma yake ya kisiasa itakuwa imefikia Tamati..?

dah pesa mbaya sana watu mmeuza mpaka pupu..ch
 
Kama alivyosema Mzee Mkapa katika moja ya hotuba yake makini aliyoitoa mwishoni mwa miaka ya 2004 ambayo imenukuliwa katika vyombo mbalimbali vya habari na katika jarida la Mzalendo la Chama Cha Mapinduzi, kuwa CCM ikipiga chafya wengine wote wanapata homa"

Ukweli huo umebaki hivyo na utabaki hivyo milele kuwa CCM ndio Baba ndio Mama wa nchi hii, ni CCM pekee yenye kuweza kufanya uamuzi wa dhati wa hatma na mustakabali wa nchi.

CCM inakutana wiki hii mjini Dodoma kufanya maamuzi ya hatma ya nchi, kuamua nani anakuja kuwa mrithi wa Jakaya, nani anakuwa Rais wa awamu ya tano, maana ukweli ni kuwa mgombea wa CCM ndio Rais wa Tanzania kwani hakuna Chama wala kikundi cha walafi kinachoweza kutoa Rais ama chenye uhakika wa kupata hata wabunge 20 katika uchaguzi wa 2015.

Wananchi, vyombo vyote vya habari na vyama vya siasa wooote masikio yao yameelekezwa Dodoma kusikiliza nini CCM inataka kuamua, ndio ni kwa sababu CCM ndio baba wa Taifa hili na maamuzi ya baba ni maamuzi ya Familia nzima, CCM ikiamua Taifa limeamua.

kuna wadada mananíi yao yana maji? Dah yani unaweza kupwelepwetwa ukienda kchwa kchwa
 
Hakuna mwanaCCM mwenye akili atakubali kwenda kujiunga na hawa wahuni..watu wa hovyo wanaoabudu utawala wa kiimla ndani ya Chama Chao.

Na ikiwa yupo mwanaCCM huyo, basi na hatma yake ya kisiasa itakuwa imefikia Tamati..?
kwahiyo unamtukana MR. EDO etiee??
ulivokuwa CDM ulikuwa nani vileee??
 
Kama alivyosema Mzee Mkapa katika moja ya hotuba yake makini aliyoitoa mwishoni mwa miaka ya 2004 ambayo imenukuliwa katika vyombo mbalimbali vya habari na katika jarida la Mzalendo la Chama Cha Mapinduzi, kuwa CCM ikipiga chafya wengine wote wanapata homa"

Ukweli huo umebaki hivyo na utabaki hivyo milele kuwa CCM ndio Baba ndio Mama wa nchi hii, ni CCM pekee yenye kuweza kufanya uamuzi wa dhati wa hatma na mustakabali wa nchi.

CCM inakutana wiki hii mjini Dodoma kufanya maamuzi ya hatma ya nchi, kuamua nani anakuja kuwa mrithi wa Jakaya, nani anakuwa Rais wa awamu ya tano, maana ukweli ni kuwa mgombea wa CCM ndio Rais wa Tanzania kwani hakuna Chama wala kikundi cha walafi kinachoweza kutoa Rais ama chenye uhakika wa kupata hata wabunge 20 katika uchaguzi wa 2015.

Wananchi, vyombo vyote vya habari na vyama vya siasa wooote masikio yao yameelekezwa Dodoma kusikiliza nini CCM inataka kuamua, ndio ni kwa sababu CCM ndio baba wa Taifa hili na maamuzi ya baba ni maamuzi ya Familia nzima, CCM ikiamua Taifa limeamua.

HAKUNA UTEKELEZAJI MAAZIMIO KAMATI YA BUNGE SAKATA LA RICHMOND

HAKUNA UTEKELEZAJI MAAZIMIO YA KAMATI YA BUNGE SAKATA LA OPERESHENI ZA KAGASHEKI

HAKUNA UTEKELEZAJI MAAZIMIO YA KAMATI YA BUNGE SAKATA LA ESCROW

Zaidi mnafika na swaga za kugoma masharti magumu ya nchi wahisani kwa sababu walishinikiza mjadala wa sakata la ESCROW. CCM "The Dream Team" Inayoshikamana Wakati wa Mavuno" hawapaswi kupewa japo masaa kuendeleza visa na vioja vya Chenge na wenzake.

Amini usiamini mtanzania mwenzangu gharama za umeme zitashuka kwa kiasi fulani ikiwa mitego iliyotegeshwa katika mikataba kati ya TANESCO na IPTL/DOWANS/SONGAS iliyowekwa kwa maslahi ya makada wa CCM itatenguliwa.
Haitoweza kutenguliwa ikiwa CCM itarejea madarakani
 
Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahman Kinana aliunga mkono maazimio yote ya BUNGE kuhusiana sakata la ESCROW ACCOUNT. Lakini hakuna utekelezaji wowote wa maana hasa kuondokana na hasara kwa taifa na kupunguza gharama za umeme nchini hivyo kutoa unafuu kwa mwananchi mtumiaji wa umeme na kupunguza gharama za uzalishaji bidhaa viwandani
 
Back
Top Bottom