Hatma ya nchi chini ya CCM: Masikio yote Dodoma

juliana baada ya kutoka mapumzikoni baada ya kupigwa ban kwa uongo eti Lisu amefukuzwa butiama.leo kaja na sera nyingine.utaangaika sana lakini 2015UKAWA
 
juliana baada ya kutoka mapumzikoni baada ya kupigwa ban kwa uongo eti lisu amefukuzwa butiama.leo kaja na sera nyingine.utaangaika sana lakini 2015ukawa

hebu tafuta jina lingine
 
Kama alivyosema Mzee Mkapa katika moja ya hotuba yake makini aliyoitoa mwishoni mwa miaka ya 2004 ambayo imenukuliwa katika vyombo mbalimbali vya habari na katika jarida la Mzalendo la Chama Cha Mapinduzi, kuwa CCM ikipiga chafya wengine wote wanapata homa"

Ukweli huo umebaki hivyo na utabaki hivyo milele kuwa CCM ndio Baba ndio Mama wa nchi hii, ni CCM pekee yenye kuweza kufanya uamuzi wa dhati wa hatma na mustakabali wa nchi.

CCM inakutana wiki hii mjini Dodoma kufanya maamuzi ya hatma ya nchi, kuamua nani anakuja kuwa mrithi wa Jakaya, nani anakuwa Rais wa awamu ya tano, maana ukweli ni kuwa mgombea wa CCM ndio Rais wa Tanzania kwani hakuna Chama wala kikundi cha walafi kinachoweza kutoa Rais ama chenye uhakika wa kupata hata wabunge 20 katika uchaguzi wa 2015.

Wananchi, vyombo vyote vya habari na vyama vya siasa wooote masikio yao yameelekezwa Dodoma kusikiliza nini CCM inataka kuamua, ndio ni kwa sababu CCM ndio baba wa Taifa hili na maamuzi ya baba ni maamuzi ya Familia nzima, CCM ikiamua Taifa limeamua.

Imekaa kishabiki sana. Hii inatokana na ww kuwa umevaa gamba na hutaki kulitoa japo linakuumiza.
 
Ni kweli kabisa, CCM ndio imebeba jukumu la kutuletea Rais bora!
 
Mwisho wenu wa kuishi kwa ujanja ujanja mjini,sio kwa ccm hii ya proffessor,huku kitaa hatutamani aongeze hata usiku mmoja tu.
 
Kama alivyosema Mzee Mkapa katika moja ya hotuba yake makini aliyoitoa mwishoni mwa miaka ya 2004 ambayo imenukuliwa katika vyombo mbalimbali vya habari na katika jarida la Mzalendo la Chama Cha Mapinduzi, kuwa CCM ikipiga chafya wengine wote wanapata homa"

Ukweli huo umebaki hivyo na utabaki hivyo milele kuwa CCM ndio Baba ndio Mama wa nchi hii, ni CCM pekee yenye kuweza kufanya uamuzi wa dhati wa hatma na mustakabali wa nchi.

CCM inakutana wiki hii mjini Dodoma kufanya maamuzi ya hatma ya nchi, kuamua nani anakuja kuwa mrithi wa Jakaya, nani anakuwa Rais wa awamu ya tano, maana ukweli ni kuwa mgombea wa CCM ndio Rais wa Tanzania kwani hakuna Chama wala kikundi cha walafi kinachoweza kutoa Rais ama chenye uhakika wa kupata hata wabunge 20 katika uchaguzi wa 2015.

Wananchi, vyombo vyote vya habari na vyama vya siasa wooote masikio yao yameelekezwa Dodoma kusikiliza nini CCM inataka kuamua, ndio ni kwa sababu CCM ndio baba wa Taifa hili na maamuzi ya baba ni maamuzi ya Familia nzima, CCM ikiamua Taifa limeamua.

Hivi katika CCM ukiwa huna la kusema ukaa kimya huwezi kuwa kuonekana mwanachama? Wewe ni mkiristu. Yesu alipoondoka duniani alituachia watanzania CCM? Je, mtu akizaliwa akajiunga na CCM ndiyo anakuwa na uwezo wa ajabu,kipekee na wa milele wa kuongoza watanzania? Hivi kwako uongozi wa nchi ni uraisi tu? Kuna serikali za mitaa, halmashauri na majimbo yanaongozwa na wasio wanaCcm na mbona maisha hayajasimama?
Hivi mbona mnafanya mzaha hivi na maisha ya watanzania? Au fikra kama hizi ndio siasa?
 
Kama alivyosema Mzee Mkapa katika moja ya hotuba yake makini aliyoitoa mwishoni mwa miaka ya 2004 ambayo imenukuliwa katika vyombo mbalimbali vya habari na katika jarida la Mzalendo la Chama Cha Mapinduzi, kuwa CCM ikipiga chafya wengine wote wanapata homa"

Ukweli huo umebaki hivyo na utabaki hivyo milele kuwa CCM ndio Baba ndio Mama wa nchi hii, ni CCM pekee yenye kuweza kufanya uamuzi wa dhati wa hatma na mustakabali wa nchi.

CCM inakutana wiki hii mjini Dodoma kufanya maamuzi ya hatma ya nchi, kuamua nani anakuja kuwa mrithi wa Jakaya, nani anakuwa Rais wa awamu ya tano, maana ukweli ni kuwa mgombea wa CCM ndio Rais wa Tanzania kwani hakuna Chama wala kikundi cha walafi kinachoweza kutoa Rais ama chenye uhakika wa kupata hata wabunge 20 katika uchaguzi wa 2015.

Wananchi, vyombo vyote vya habari na vyama vya siasa wooote masikio yao yameelekezwa Dodoma kusikiliza nini CCM inataka kuamua, ndio ni kwa sababu CCM ndio baba wa Taifa hili na maamuzi ya baba ni maamuzi ya Familia nzima, CCM ikiamua Taifa limeamua.

Kwanza,ni kweli mdau.Chafya ya EPA, RICHMOND,ESCROW zilileta homa kali hapa nchini,wananchi wanalijua sana hili.
Pili, kwenye siasa bahati mbaya sana wewe si mtabiri mzuri kuhusu siasa za ushindani.Ngoja nikukumbushe tabiri zako.Unakumbuka utabiri wako HUU HAPA?
 
Kama alivyosema Mzee Mkapa katika moja ya hotuba yake makini aliyoitoa mwishoni mwa miaka ya 2004 ambayo imenukuliwa katika vyombo mbalimbali vya habari na katika jarida la Mzalendo la Chama Cha Mapinduzi, kuwa CCM ikipiga chafya wengine wote wanapata homa"

Ukweli huo umebaki hivyo na utabaki hivyo milele kuwa CCM ndio Baba ndio Mama wa nchi hii, ni CCM pekee yenye kuweza kufanya uamuzi wa dhati wa hatma na mustakabali wa nchi.

CCM inakutana wiki hii mjini Dodoma kufanya maamuzi ya hatma ya nchi, kuamua nani anakuja kuwa mrithi wa Jakaya, nani anakuwa Rais wa awamu ya tano, maana ukweli ni kuwa mgombea wa CCM ndio Rais wa Tanzania kwani hakuna Chama wala kikundi cha walafi kinachoweza kutoa Rais ama chenye uhakika wa kupata hata wabunge 20 katika uchaguzi wa 2015.

Wananchi, vyombo vyote vya habari na vyama vya siasa wooote masikio yao yameelekezwa Dodoma kusikiliza nini CCM inataka kuamua, ndio ni kwa sababu CCM ndio baba wa Taifa hili na maamuzi ya baba ni maamuzi ya Familia nzima, CCM ikiamua Taifa limeamua.

Haya ni mahaba niuwe.
 
Juliana Shonza

Laiti ungejua huku mtaani palivyobadilika usingesema hivyo

Laiti ungejua kuwa mtu anayeonekana ni CCM anatazamwa vipi mtaani usingesema hivyo.

Laiti ungejua kuwa huu ni mwaka 2015 na sio 2004 usingeropoka hivyo

Hata hivyo...kwa minajili ya kujifariji unaruhusiwa kuongea chochote

My dear...Times have changed.....Things are no longer at ease

addict umenikumbusha mbali yes, things are falling apart
 
CCM inakutana wiki hii mjini Dodoma kufanya maamuzi ya hatma ya nchi, kuamua nani anakuja kuwa mrithi wa Jakaya, nani anakuwa Rais wa awamu ya tano, maana ukweli ni kuwa mgombea wa CCM ndio Rais wa Tanzania kwani hakuna Chama wala kikundi cha walafi kinachoweza kutoa Rais ama chenye uhakika wa kupata hata wabunge 20 katika uchaguzi wa 2015.

... CCM kufanya maamuzi ya hatma ya nchi???
Sasa wewe ndugu kama nchi tayari imefikishwa kuzimu unazungumzia hatma ipi? Naamini unazo za kutosha kutofautisha ukweli na uongo. Ukiacha ushabiki wa kisiasa ambao huenda unaujua sana, nakuuliza swali dogo tu ambalo liko hivi: Hali ya uchumi wa nchi hii leo ikoje wakati wananchi wengi ni masikini wa kutupwa? Unawezaje kutoona inchi imefikaje hapo halafu kwako iwe sawa tu kukubali watu walewale na mambo yao yote? Unasaliti Watanzania!
 
Kama alivyosema Mzee Mkapa katika moja ya hotuba yake makini aliyoitoa mwishoni mwa miaka ya 2004 ambayo imenukuliwa katika vyombo mbalimbali vya habari na katika jarida la Mzalendo la Chama Cha Mapinduzi, kuwa CCM ikipiga chafya wengine wote wanapata homa"

Ukweli huo umebaki hivyo na utabaki hivyo milele kuwa CCM ndio Baba ndio Mama wa nchi hii, ni CCM pekee yenye kuweza kufanya uamuzi wa dhati wa hatma na mustakabali wa nchi.

CCM inakutana wiki hii mjini Dodoma kufanya maamuzi ya hatma ya nchi, kuamua nani anakuja kuwa mrithi wa Jakaya, nani anakuwa Rais wa awamu ya tano, maana ukweli ni kuwa mgombea wa CCM ndio Rais wa Tanzania kwani hakuna Chama wala kikundi cha walafi kinachoweza kutoa Rais ama chenye uhakika wa kupata hata wabunge 20 katika uchaguzi wa 2015.

Wananchi, vyombo vyote vya habari na vyama vya siasa wooote masikio yao yameelekezwa Dodoma kusikiliza nini CCM inataka kuamua, ndio ni kwa sababu CCM ndio baba wa Taifa hili na maamuzi ya baba ni maamuzi ya Familia nzima, CCM ikiamua Taifa limeamua.

Na nukuu, Katibu wako wa ccm alisema hv, Nchi hii imefika kwa Upuuzi, Ufisad, na Wiz. Huyo ni katibu wako cjui ww unamshobekea nani Ndan ya ccm,
Xo Nchi hii imekuwa maskin kwa Upuuz wa Ccm, Nchi hii imekuwa na Ufisad kwa Upuuz wa ccm, Nchi hii imekuwa ya wiz kwa Upuuz wa ccm,
Naona unajitekenya nyuma na kucheka mwenyewe,
Ccm imechokwa jaman kaen pemben ili kudhirihisha kuwa ccm imechoka, Rais wako alisema amechoka mda wake uishe tu anataman kwenda kuchunga Mbuz chalinze ww unasubiri nn kama viongoz wako wamechoka???? Eboooo.
 
Ndugu CCM ni lazima ifuate kanuni ya maisha kwamba kila kilicho na mwanzo lazima kiwe na mwisho na historia inaonyesha hivyo. Muda ukifika CCM haitkuwepo duniani itabaki historia tuu rejea KANU, ZANU na vingine vinavyo fanana na hivyo. Kwa faida yako kwa uelewa zaidi soma habari za akina Adolf Hitler, Benito Mussolin na siasa za vyama vyao na mwisho wao ulikuwa nini na ndivyo CCM itakavyo kuwa. Suala la umilele wa CCM kuwepo hiyo ni dhana potovu.

FUo3wtkhyo1LvA7jNIgdZp0wZ9ERLoiNcu503pkhuNJYe5bFHWasK6d3NOSX8hpQhkgZIv8f5aJRG6R0Qd8AAAAASUVORK5CYII=
 
Ni kweli! Ukiona simba porini wanafanya mkutano lazima swala wapate hofu maana wanaweza kuja mbinu mpya ya kuwala asibaki hata wa kuendeleza kizazi. Lakini Mungu aliye mwema huwapiga upofu wasitambue tofauti ya simba na swala, simba humla simba mwenzake akidhani ni swala! Na hapa ndipo kupona kwa swala kulipo.
 
Baba huyu wa Kufikia ni Mlevi chakari, mara kwa mara hujinyea mbele ya watoto kutokana na ulevi wake! Wakati mwingine anakunywa maziwa ya watoto... Shughuli ameshindwa na sasa anapigiwa mashine ... na yeye mwenyewe vibaka wa mataifa mbali mbali humpiga mtungo... Watoto hawamtaki tena !!! Saratani mbaya inaelekea kumpeleka kaburini hapo October! Watoto wanasema hakutakuwa na kilio bali kutakuwa na sherehe kubwa ya kuondokewa na Maluun CCM ...
Kama alivyosema Mzee Mkapa katika moja ya hotuba yake makini aliyoitoa mwishoni mwa miaka ya 2004 ambayo imenukuliwa katika vyombo mbalimbali vya habari na katika jarida la Mzalendo la Chama Cha Mapinduzi, kuwa CCM ikipiga chafya wengine wote wanapata homa"

Ukweli huo umebaki hivyo na utabaki hivyo milele kuwa CCM ndio Baba ndio Mama wa nchi hii, ni CCM pekee yenye kuweza kufanya uamuzi wa dhati wa hatma na mustakabali wa nchi.

CCM inakutana wiki hii mjini Dodoma kufanya maamuzi ya hatma ya nchi, kuamua nani anakuja kuwa mrithi wa Jakaya, nani anakuwa Rais wa awamu ya tano, maana ukweli ni kuwa mgombea wa CCM ndio Rais wa Tanzania kwani hakuna Chama wala kikundi cha walafi kinachoweza kutoa Rais ama chenye uhakika wa kupata hata wabunge 20 katika uchaguzi wa 2015.

Wananchi, vyombo vyote vya habari na vyama vya siasa wooote masikio yao yameelekezwa Dodoma kusikiliza nini CCM inataka kuamua, ndio ni kwa sababu CCM ndio baba wa Taifa hili na maamuzi ya baba ni maamuzi ya Familia nzima, CCM ikiamua Taifa limeamua.
 
Kama alivyosema Mzee Mkapa katika moja ya hotuba yake makini aliyoitoa mwishoni mwa miaka ya 2004 ambayo imenukuliwa katika vyombo mbalimbali vya habari na katika jarida la Mzalendo la Chama Cha Mapinduzi, kuwa CCM ikipiga chafya wengine wote wanapata homa"

We kiswahili ulijifunzia wapi? Hakuna miaka ya 2004. Kuna miaka ya 2000!
 
Hawaendi kuamua usidanganye wanakwenda kuandaa ratiba itakayotumika kumpata mgombea wa Urais
 
Kwa leo naomba nikupe HOMEWORK;

1.KASOME KATIBA YA TANU..........

2.KASOME KATIBA YA CCM

3.HAKIKISHA UNAZIJUA DOES & DONTS za CCM

Mie napata hizi kwanza 😛opcorn:😛opcorn:wakati wewe unapiga shule ya CCM
 
Juliana Shonza una ushabiki wa jazba ambao hata mwenyekiti wa chama chako hana ushabiki wa aina hiyo kwa chama!
Unaandika thread as if unaimba taarabu aisee!
USHABIKI huo hautakupa ukuu wa wilaya,mwenzako alimkaba Mzee Warioba wewe utamkaba nani na Katiba Pendekezwa imeahilishwa muda usio julikana
 
Back
Top Bottom