Hatma ya nchi chini ya CCM: Masikio yote Dodoma

Zipo baadhi ya comment ambazo ni worth responding, nazo ni chache sana kulinganisha na pumba za bavicha walizotema wakiwa wamepanick...

Nitarespond zile ambazo zinastahili kujibiwa.
 
Kama alivyosema Mzee Mkapa katika moja ya hotuba yake makini aliyoitoa mwishoni mwa miaka ya 2004 ambayo imenukuliwa katika vyombo mbalimbali vya habari na katika jarida la Mzalendo la Chama Cha Mapinduzi, kuwa CCM ikipiga chafya wengine wote wanapata homa"

Ukweli huo umebaki hivyo na utabaki hivyo milele kuwa CCM ndio Baba ndio Mama wa nchi hii, ni CCM pekee yenye kuweza kufanya uamuzi wa dhati wa hatma na mustakabali wa nchi.

CCM inakutana wiki hii mjini Dodoma kufanya maamuzi ya hatma ya nchi, kuamua nani anakuja kuwa mrithi wa Jakaya, nani anakuwa Rais wa awamu ya tano, maana ukweli ni kuwa mgombea wa CCM ndio Rais wa Tanzania kwani hakuna Chama wala kikundi cha walafi kinachoweza kutoa Rais ama chenye uhakika wa kupata hata wabunge 20 katika uchaguzi wa 2015.

Wananchi, vyombo vyote vya habari na vyama vya siasa wooote masikio yao yameelekezwa Dodoma kusikiliza nini CCM inataka kuamua, ndio ni kwa sababu CCM ndio baba wa Taifa hili na maamuzi ya baba ni maamuzi ya Familia nzima, CCM ikiamua Taifa limeamua.
Masikini hakashirikishwi, hakajui hata ratiba ya chama chake.
 
Mie ni Ukawa ila sikujibu vibaya ili usije kujipatia sifa ya bure kwamba bavicha wana urgue na wewe.Tumeyakubali mawazo yako na tunayaheshimu sana,hongera.
 
Zipo baadhi ya comment ambazo ni worth responding, nazo ni chache sana kulinganisha na pumba za bavicha walizotema wakiwa wamepanick...

Nitarespond zile ambazo zinastahili kujibiwa.
Mbona na wewe hukuenda kwenye kikao?

Umevamia mahali ambapo kuna wenyewe, na wenyewe wanakuangalia kama wakuja tu
 
Kama alivyosema Mzee Mkapa katika moja ya hotuba yake makini aliyoitoa mwishoni mwa miaka ya 2004 ambayo imenukuliwa katika vyombo mbalimbali vya habari na katika jarida la Mzalendo la Chama Cha Mapinduzi, kuwa CCM ikipiga chafya wengine wote wanapata homa"

Ukweli huo umebaki hivyo na utabaki hivyo milele kuwa CCM ndio Baba ndio Mama wa nchi hii, ni CCM pekee yenye kuweza kufanya uamuzi wa dhati wa hatma na mustakabali wa nchi.

CCM inakutana wiki hii mjini Dodoma kufanya maamuzi ya hatma ya nchi, kuamua nani anakuja kuwa mrithi wa Jakaya, nani anakuwa Rais wa awamu ya tano, maana ukweli ni kuwa mgombea wa CCM ndio Rais wa Tanzania kwani hakuna Chama wala kikundi cha walafi kinachoweza kutoa Rais ama chenye uhakika wa kupata hata wabunge 20 katika uchaguzi wa 2015.

Wananchi, vyombo vyote vya habari na vyama vya siasa wooote masikio yao yameelekezwa Dodoma kusikiliza nini CCM inataka kuamua, ndio ni kwa sababu CCM ndio baba wa Taifa hili na maamuzi ya baba ni maamuzi ya Familia nzima, CCM ikiamua Taifa limeamua.
...roho mbaya na arrogance ya namna hii kwenye nchi (na chama-ccm) inayojinasibu kuwa eti ni ya kidemokrasia haitakiwi na huu ni mfano hai wa fikra za walio wengi huko ccm...Kwamba hatma ya nchi hii eti wanayo wao kwa namna yoyote ile.....Mawazo kama haya kwenye nchi ya kidemokrasia yanatosha kabisa kukinyim chama fursa ya kuongoza taifa...maana ni mawazo yenye kuonyesha ubinafsi uliozidi mipaka na hayakubaliki katika mataifa yenye kujinadi kufata demokrasia.....Haya ni mawazo ya chama chenye kutawala kidikteta na yamechangia kuviangusha vyama vingi madarakani........mfano mzuri ni hapo Kenya tu enzi ya KANU ya Moi.....Kweli sikio la kufa huwa halisikii dawa....
 
Japo natamani chama cha upinzani kishike madaraka mwaka huu..ukweli wa thread yako unabaki kuchoma moyo wangu!!kwani ni kweli Dodoma wataamua mustakabali wa nchi hii!!

Heshima ikurudie Mkuu Emma kuna watu wamekuwa kama mapunguani kusifia na kupigia makofi yale ambayo hayastahili kufanyiwa hivyo kama wizi, uzembe, ufisadi, rushwa, uongo, uhuni n.k. ambao unazidi kukithiri ndani ya chama chao cha wahuni na Serikali huku nchi ikizidi kuangamia miaka nenda miaka rudi.

Julia anavyotapika atakuwa amekunywa maji ya mvua ya mto janguani sio bure

Huyu anajifurahisha nafsi yake lakini anajua ukweli ccm imechoka na wananchi ndo wenye maamuzi ya kuindoa October.Kusema hakuna chama cha upinzani kitakachochukuwa na wabunge 20 Uchaguzi ujao ni upofu wa macho ni sawa na kujitekenya mwenyewe na kuaanza kucheka
 
Last edited by a moderator:
Kama alivyosema Mzee Mkapa katika moja ya hotuba yake makini aliyoitoa mwishoni mwa miaka ya 2004 ambayo imenukuliwa katika vyombo mbalimbali vya habari na katika jarida la Mzalendo la Chama Cha Mapinduzi, kuwa CCM ikipiga chafya wengine wote wanapata homa"

Ukweli huo umebaki hivyo na utabaki hivyo milele kuwa CCM ndio Baba ndio Mama wa nchi hii, ni CCM pekee yenye kuweza kufanya uamuzi wa dhati wa hatma na mustakabali wa nchi.

CCM inakutana wiki hii mjini Dodoma kufanya maamuzi ya hatma ya nchi, kuamua nani anakuja kuwa mrithi wa Jakaya, nani anakuwa Rais wa awamu ya tano, maana ukweli ni kuwa mgombea wa CCM ndio Rais wa Tanzania kwani hakuna Chama wala kikundi cha walafi kinachoweza kutoa Rais ama chenye uhakika wa kupata hata wabunge 20 katika uchaguzi wa 2015.

Wananchi, vyombo vyote vya habari na vyama vya siasa wooote masikio yao yameelekezwa Dodoma kusikiliza nini CCM inataka kuamua, ndio ni kwa sababu CCM ndio baba wa Taifa hili na maamuzi ya baba ni maamuzi ya Familia nzima, CCM ikiamua Taifa limeamua.

So what is new and what is news here!!!!
 
Unajua shida ya kujenga hoja ukiwa umelala kitandani ndiyo kama hii......Mara zote hoja za dizaini hiyo zinakuwa tofauti sana na uhalisia.....

Utajuta sana ukija kusoma hiki ulichokiandika baada ya January mwakani..
 
Hata mh jakaya amekichoka hiki chama ndo maana hataki uchaguzi uahirishwe
 
Hayo mawazo mnayojifariji nayo ila mwisho wa CCM ni October 2015. Chama chakavu, mipango na fikra chakavu tupa kule. Miaka 50 bado hakuna kitu mnachoweza kujisifia cha maendeleo ila ufisadi uliotukuka.

Hata kama ccm ingekuwa ICU bado itapewa nchi maana hakuna chama chochote cha upinzani chenye hadhi, sera, mfumo wenye kukidhi matakwa ya kupewa nchi. vyama vyetu vya upinzani vimeanzishwa katika misingi ya ub...inafsi na vinaendeshwa kwa misingi hiyo hiyo so they are good to continue being oposition.
 
zipo baadhi ya comment ambazo ni worth responding, nazo ni chache sana kulinganisha na pumba za bavicha walizotema wakiwa wamepanick...

Nitarespond zile ambazo zinastahili kujibiwa.

changu.. ndorrrroooobo weee!!!
 
Kama alivyosema Mzee Mkapa katika moja ya hotuba yake makini aliyoitoa mwishoni mwa miaka ya 2004 ambayo imenukuliwa katika vyombo mbalimbali vya habari na katika jarida la Mzalendo la Chama Cha Mapinduzi, kuwa CCM ikipiga chafya wengine wote wanapata homa"

Ukweli huo umebaki hivyo na utabaki hivyo milele kuwa CCM ndio Baba ndio Mama wa nchi hii, ni CCM pekee yenye kuweza kufanya uamuzi wa dhati wa hatma na mustakabali wa nchi.

CCM inakutana wiki hii mjini Dodoma kufanya maamuzi ya hatma ya nchi, kuamua nani anakuja kuwa mrithi wa Jakaya, nani anakuwa Rais wa awamu ya tano, maana ukweli ni kuwa mgombea wa CCM ndio Rais wa Tanzania kwani hakuna Chama wala kikundi cha walafi kinachoweza kutoa Rais ama chenye uhakika wa kupata hata wabunge 20 katika uchaguzi wa 2015.

Wananchi, vyombo vyote vya habari na vyama vya siasa wooote masikio yao yameelekezwa Dodoma kusikiliza nini CCM inataka kuamua, ndio ni kwa sababu CCM ndio baba wa Taifa hili na maamuzi ya baba ni maamuzi ya Familia nzima, CCM ikiamua Taifa limeamua.

MLOKOLE wa SIASA...
 
Sijui amekula maharage gani huyo sijui anaitwa Shonza?? Habari gani hiyo sasa?
 
Back
Top Bottom