CDM ina Ruzuku, Hujasikia watu wakilalamima kuwa 1.2b imepigwa. hukumbuki Ripoti ya C.A.G. endelea kujitolea Bob!Cdm INA rasilimali gani za kuliwa, watu wanajitolea, unaandika ushabiki tu, sababu we ni masikini
Wewe mbona unamtegemea polepoleTumbo lako lina Mkataba na Mbowe, kila yako na kuishi kwako kunategemea uwepo wa Mbowe, obviously what you can do is to make sure Mbowe stays, regardless of what is going to deliver! Poor you!
CCM mna shida sana.Ha Ha HaaaMstari wa mwisho naungana na wewe. Hawa ni watu wanaofaidika na uwepo wa Mbowe Kama waliofaidika na utawala wa Mgabe walivyotaka aendelee kuwepo bila kujali analeta Nini!
Wanapata vijisenti tu. Nchi kubwa hii, we kwa akili yako ya kimaskini unadhani ruzuku ni hela ya maana,CDM ina Ruzuku, Hujasikia watu wakilalamima kuwa 1.2b imepigwa. hukumbuki Ripoti ya C.A.G. endelea kujitolea Bob!
Tumbo lako wewe lina mkataba na CCMTumbo lako lina Mkataba na Mbowe, kila yako na kuishi kwako kunategemea uwepo wa Mbowe, obviously what you can do is to make sure Mbowe stays, regardless of what is going to deliver! Poor you!
CCM inahusikaje hapa, kwani mkiitisha uchaguzi CCM itawaingilia?Una uhakika kuwa chaguzi hazifanyiki? Na uchaguzi ujao lazima tumchague tena. Toka lini CCM ikawa na mapenzi mema kwa chadema kiasi kwamba inataka iwachagulie mwenyekiti? Kama kapwaya si ndio furaha yenu ili mpate credit? Inakuwaje sasa ninyi CCM hamumraki mwenyekiti wa chadema?
Umewaambia vema mkuuWanapata vijisenti tu. Nchi kubwa hii, we kwa akili yako ya kimaskini unadhani ruzuku ni hela ya maana,
Acha unaa. Aliapa kuua upinzani 2020, akaapa kutokushirikiana na wapinzani, akawatuma vijana wake wawapige risasi wapinzani akazuia mikutano, aka mwagiza spika awafukuze bungeni, ameendelea kuwahuhumu wapinzani, alafu unaandika upuuzi,Thanks for much respect, hata mimi bado naikumbuka ile ban yangu ya kwanza na probably ya mwisho, ulionisababishia tena kwa kunisingizia, japo nimeisha forgive but not forget, ila nakuheshimu sana, na wapenda demokrasia wote wa kweli hata walioko ndani ya CCM, wanapenda kuona nchi yetu inakuwa na strong na credible opposition, na Chadema was the only hope kwa Tanzania bara, lakini haya maroroso yenu, yanawakatisha sana tamaa walio wengi, msipokubali kubadilika, 2020 you're going to be reduced to nothing!.
Ni kweli Kamanda kafanya mengi makubwa, lakini amefikia optimum performance ya uwezo wake, he can not do anything more than what he can.
P
I never depend on anybody, iam street hustler baddy lakini napenda kuona watu wanaishi yale wanayoyaamini. CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO BILA DEMOCRASIA NA MAENDELEO NI UBATILI, Watanzania sio wajinga eti!Wewe mbona unamtegemea polepole
Najua unaelewa what i mean, and from your comment I can see how you feel, you are very much touched!CCM mna shida sana.Ha Ha Haaa
Nyie kama chama mnaamini katika nini?
Je mnaamini ni sahihi kiongozi kukaa sana madarakani kwakuwa tu anafanya mazuri mengi na kwa mawazo yenu hakuna anyeweza kufanya kama yeye?
Au mnaamini katika viongozi wanaoamini katika uongozi wa wengine pia?
Kama chama kikuu cha upinzani nchini, mnaamini ndani ya chama chenu hakuna mtu mwingine mwenye kuweza kuwaongoza kama anavyofanya Mbowe?
Kama jibu ni ndio, je kuna sababu gani nyie kuwa chama kikuu cha upinzani kama hamna viongozi imara na ni Mbowe pekee ndio imara?
Kama Mbowe tangu amekuwa mwenyekiti hadi leo hajaweza kutengeneza kiongozi mwingine imara kama yeye, je, kuna sababu gani ya yeye kuendelea kuwa mwenyekiti kama hata kutengeneza mtu makini kama yeye ameshindwa?
Hiyo Ruzuku ndogo imefanya nini?.Hata Ofisi hawana, Kama kidogo wanachopata waonyeshe basi hata madogo yanayololingana nacho!Wanapata vijisenti tu. Nchi kubwa hii, we kwa akili yako ya kimaskini unadhani ruzuku ni hela ya maana,
Kama ambavyo ccm haiko tayari kukabidhi madaraka kwa vyama vingine, ni hivyo hivyo Mbowe hayuko tayari kukabidhi uenyekiti kwa wanachama wengine.Acha unaa. Aliapa kuua upinzani 2020, akaapa kutokushirikiana na wapinzani, akawatuma vijana wake wawapige risasi wapinzani akazuia mikutano, aka mwagiza spika awafukuze bungeni, ameendelea kuwahuhumu wapinzani, alafu unaandika upuuzi,
Mkuu mbona ccm haijawahi kuwa tayari kukabidhi madaraka kwa wapinzani wanaposhinda uchaguzi Mara nyingi huko nyuma
Dogo mbona unaumia sana, na yasiyokuhusu, nenda uchukue kadi ukazungumze kwenye vikaoHa ha ha ha ha, chama kinachoamini katika democrasia kinawezaje hata Kama wanachama hawajazungumzia kuacha kuweka kipengele Cha ukomo wa uongozi, wakati ni moja ya nguzo ya democrasia common huwezi kuwa mbumbumbu kiasi hiki, kwamba kilikuwepo ila walipofanya mabadiliko kikasahaukika bahati mbaya.
Dogo Chadema wanakuumiza sana, ni chama chao watajua wenyewe, kama ilivyokuwa ccm makada kujimiliksha Mali za chama,Hiyo Ruzuku ndogo imefanya nini?.Hata Ofisi hawana, Kama kidogo wanachopata waonyeshe basi hata madogo yanayololingana nacho!
Chukua kadi uwe mwanachama alafu ndo ukaulize maswali yako ya kijinga
Punguza mihemko kamanda, mbona hamtaki kuhojiwa nyie? Mnapenda kuwahoji CCM tu,kwani nyie mna kadi za CCM? |
Ha ha haha nina Maslahi mapana na CHADEMA kwakuwa mimi ni mpiga kura!Dogo Chadema wanakuumiza sana, ni chama chao watajua wenyewe, kama ilivyokuwa ccm makada kujimiliksha Mali za chama,
Wapatikane wabunge, wasipatikane. wanachama wanamtaka mbowe full stop.Hilo la kuongezeka kwa idadi ya wabunge ni kwa sababu ya juhudi za uongozi mahiri wa Dr. Slaa alizozifanya upinzani.
Kama ninayoyasema ni ya kizushi, tutaangalia idadi ya wabunge wa upinzani itakayopatikana baada ya uchaguzi mkuu wa mwakani.
Kama itafikia hata nusu ya waliopo, basi kweli Mbowe atakuwa ni mwenyekiti chaguo sahihi la wapinzani.
Hawakuwahi kuwa maccm. Umeguswa eh, kanunue udongo utafune.Kaanzia kwa waliokuzaa