Wanaserengeti katika ubora, kwamba ni halali kukiuka misingi ya kidemokorasia wakati huo huo mkapata uhalali wa kupigania demokorasia. Mnachekesha Sana. Watu wenye akili zao wanawachora tu!Mbowe aendelee hakuna kutoka, jpm asithubutu kutoa ukomo wa urais maana hana maana, hafai anatesa watanzania wengi sana kwa maamuzi yake ya hovyo na ya kikatili, hana busara, hana hekima.
Kama wewe ulivyo na maslahi na CCM
Utaupima ujinga wako baada ya tarehe 24.11.2019 kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa na baadae ujione zuzu kwenye uchaguzi mkuu 2020.Mbowe Tano Tena
Huyu HaweziPia Rais wa nchi akifanya mazuri, ukomo uondolewe ili aendelee kutawala mpaka pale wananchi watakaposema basi!
Hakuna mwanaCDM mwenye akili ndogo kama hiyo.Labda hujui tu propaganda mnazopiga tumezizoea kwa miaka karibu 20 sasa.Sijawahi hata kuitamani hiyo ccm na wala sintokaa niitamani, naifahamu siasa wala sibahatishi, ila sina siasa za kuabudu watu. Ni hivi muda wa Mbowe umefikia tamati. Tuna uwezo wa kutosha kutofautisha propaganda za ccm na ukweli ni upi, usidhani kila mtu anatekwa na propaganda mfu za ccm kwamba Mbowe atoke madarakani. Tuna sababu za msingi kuhusu muda wa Mbowe kukaa madarakani kufikia tamati.
Mbowe Tano TenaTotal nonesense
Kuchorwa na wanaCCM haitumiizi kichwa.Wanaserengeti katika ubora, kwamba ni halali kukiuka misingi ya kidemokorasia wakati huo huo mkapata uhalali wa kupigania demokorasia. Mnachekesha Sana. Watu wenye akili zao wanawachora tu!
Mkuu inafikirisha Sana, kwamba chama chenye Wabunge sijui 60 na halmashauri sijui ngapi hawana mtu mwingine wanayeamini anaweza kuendelea hapo alipofika Mbowe, lakini wakati huo huo wanataka Watanzania waamini wawape ridhaa ya kuongoza Nchi. Haya nayo ni maajabu!
Nyie kama chama mnaamini katika nini?
Je mnaamini ni sahihi kiongozi kukaa sana madarakani kwakuwa tu anafanya mazuri mengi na kwa mawazo yenu hakuna anyeweza kufanya kama yeye?
Au mnaamini katika viongozi wanaoamini katika uongozi wa wengine pia?
Kama chama kikuu cha upinzani nchini, mnaamini ndani ya chama chenu hakuna mtu mwingine mwenye kuweza kuwaongoza kama anavyofanya Mbowe?
Kama jibu ni ndio, je kuna sababu gani nyie kuwa chama kikuu cha upinzani kama hamna viongozi imara na ni Mbowe pekee ndio imara?
Kama Mbowe tangu amekuwa mwenyekiti hadi leo hajaweza kutengeneza kiongozi mwingine imara kama yeye, je, kuna sababu gani ya yeye kuendelea kuwa mwenyekiti kama hata kutengeneza mtu makini kama yeye ameshindwa?
CCM mnatusaidia sana kumpata kiongozi anayefaa.Ndiyo maana KM wenu alisema mnastahili kwenda shule msomeMafanikio ya chadema na kupaa credit zinatakiwa ziende kwa watu wawili wa Kwanza Ni Dr Slaa wa Pili Lowasa.Wabunge na madiwani wengi waliongezeka wakati wa Dr Slaa na wakaongezeka Sana Lowasa alipohamia Chadema.Mbowe asiparamie sifa zisizo zake
Makubaliano yetu na Mbowe ni kuiondoa CCM madarakani.Akishamaliza kazi hiyo mkataba na yeye utakuwa umekwishaMkuu inafikirisha Sana, kwamba chama chenye Wabunge sijui 60 na halmashauri sijui ngapi hawana mtu mwingine wanayeamini anaweza kuendelea hapo alipofika Mbowe, lakini wakati huo huo wanataka Watanzania waamini wawape ridhaa ya kuongoza Nchi. Haya nayo ni maajabu!
Mbowe Tano TenaHiki unachokitetea hapa kimekuvua vazi la ubongo wako
Sishangai kwa sababu wapo watu mnaokula na kuvaa kwa vile tu Mbowe ni Mwenyekiti, watu kama nyie mngependa Mbowe aendelee ili muendelee kwenda chooni, hapa ni matumbo yenu na si vinginevyo. Watu Kama wewe ndo walimwambia Mgabe aendelee pamoja na umri kumtupa na kutokuwa na Mawazo mapya, ndio hao wanaomwambia Mseveni aondoe ukomo, ndo hao wanaleta ngojera za JPM kuongezewa muda. Wote nyie ni Matumbo yanawasumbua maana uwepo wao ndio kula yenu na wala si kile wanachofanya!Kuchorwa na wanaCCM haitumiizi kichwa.
Labda nikuibie siri kwamba nimebahatika kuwa karibu na viongozi wakuu na kuwa katika ngazi muhimu za maamuzi.Ni kwamba Mbowe hana mfanowe kwa ubora.Na kura yangu nitampa tena
Mfano wako hauko relevant ccm wakiona Magufuli imekisaidia sana chama basi wanachama wanaweza kuamua kubadilisha katiba akaendelea.
Rais Magufuli amechukua nchi kutoka kwa Kikwete shirika la ndege ilikiwa limekufa.
Leo hii mandege yananunuliwa tu na shirika linaendelea kufufuliwa,tumenunua rada na miradi kibao inaendelea, hivyo basi rais Magufuli aendelee kutawala tu hata zaidi ya miaka 30.
Mkuu mleta mada, si tunaenda sawa? Si ndicho unachomaanisha?
Cdm INA watu wenye akiliKwenye tafiti kuna kitu kinaitwa comparative reading yaani unalinganisha vitu viwili au vitatu na kuona kipi na kwa sababu zipi kimewapita wenzie.
Sasa wakati wa failure za CCM ipo CUF ambao ndio walijenga KUB ilikuwepo TLP na NCCR zenye nguvu sana sasa kivipi weakness ya CCM isababishe CHADEMA pekee ikue na sio hivyo vyama vingine vitatu?
Kwahiyo hapo lazima ukubali kwamba CHADEMA imefika hapa ilipo sio sababu ya failure za CCM pekee bali strategy za kuweza kujijenga kama chama mbadala kwa CCM kuliko vyama vingine vya upinzani.
Hakuna mwanaCDM mwenye akili ndogo kama hiyo.Labda hujui tu propaganda mnazopiga tumezizoea kwa miaka karibu 20 sasa.
Tumbo lako lina Mkataba na Mbowe, kila yako na kuishi kwako kunategemea uwepo wa Mbowe, obviously what you can do is to make sure Mbowe stays, regardless of what is going to deliver! Poor you!Makubaliano yetu na Mbowe ni kuiondoa CCM madarakani.Akishamaliza kazi hiyo mkataba na yeye utakuwa umekwisha
Mstari wa mwisho naungana na wewe. Hawa ni watu wanaofaidika na uwepo wa Mbowe Kama waliofaidika na utawala wa Mgabe walivyotaka aendelee kuwepo bila kujali analeta Nini!Na kweli hamna mwanacdm mwenye akili ndogo, ndio maana Lowassa aliletwa na kupewa nafasi adhimu ya kugombea urais huku akiwa hawezi hata kusalimia kwa salamu ya chama, na kisha kayakosa hayo madaraka karudi alipotoka na hamuwezi kuchukua hatua kwa ujinga huo.
Pitia post zangu kama kuna popote nilipowahi kuungana na ccm kutaka muda wa Mbowe atoke madarakani. Kumbuka ccm hawakuanza kuona Mbowe atoke sasa, hayo ni madai yao ya muda mrefu, mimi madai yangu ni ya sasa na nina sababu za msingi. Usitake kuchanganya madai yangu na matakwa ya ccm ili ionekane kama mimi ni bendera fuata upepo. Ninajitambua boss na nina matakwa ya msingi. Ondoa maslahi binafsi, jali ukuaji wa taasisi na sio mlo wako.
Cdm INA rasilimali gani za kuliwa, watu wanajitolea, unaandika ushabiki tu, sababu we ni masikiniSishangai kwa sababu wapo watu mnaokula na kuvaa kwa vile tu Mbowe ni Mwenyekiti, watu kama nyie mngependa Mbowe aendelee ili muendelee kwenda chooni, hapa ni matumbo yenu na si vinginevyo. Watu Kama wewe ndo walimwambia Mgabe aendelee pamoja na umri kumtupa na kutokuwa na Mawazo mapya, ndio hao wanaomwambia Mseveni aondoe ukomo, ndo hao wanaleta ngojera za JPM kuongezewa muda. Wote nyie ni Matumbo yanawasumbua maana uwepo wao ndio kula yenu na wala si kile wanachofanya!