Kusimamia kurasa za biashara yako mtandaoni

Mr. Purpose

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
1,440
2,692
Je, unahitaji mtaalamu wa kusimamia mitandao yako ya kijamii na tovuti? (Social media manager)

Pata ongezeko la wateja, brand awareness, kuza biashara zako na mtaalamu wa mitandao ya kijamii na Masoko mtandaoni.

Fahamu Majukumu ya Social Media Manager (Msimamizi wa mitandao ya kijamii)

Majukumu ya social media manager ni pamoja na kusimamia na kuendesha akaunti za mitandao ya kijamii ya kampuni au watu maarufu celebrities. Haya ni baadhi ya majukumu muhimu;

1. Kuandaa maudhui (picha, video, maneno) kwa ajili ya kusambaza kwenye mitandao ya kijamii

2. Kujibu comments na maswali ya followers.

3. Kushiriki (engage) na wafuatiliaji (followers) kwa niaba ya kampuni.

4. Kuandaa promosheni na matangazo ya kulipia (campaigns) ili kufika watu wengi mtandaoni.

5. Kukuza jina la brand au kampuni.

6. Kujenga na kuimarisha mahusiano mazuri baina ya kampuni na wateja wake

7. Kuvutia wateja kufuatilia tovuti za kampuni (lead generation)

Faida za kuwa na mimi kama msimamizi wa mitandao yako ya kijamii (Social media manager).

1. Nasimamia akaunti zako zote za mitandao ya kijamii ya baishara yako, kama kuweka bidhaa/ huduma zako, kuwaelezea wateja upekee wako katika biashara yako, pia kukupa ushauri wa masoko yaani kupata wateja zaidi na zaidi.

2. Kupunguza majukumu yasiyoulazima kwako kwenye biashara, wote tunajua kufanikiwa unahitaji teamwork nzuri, hivyo kufanya kazi na mimi ni kuongeza ufanisi katika kazi zako.

3. Kutengeneza matangazo ya kulipia yaani Sponsored ads ya bidhaa/huduma zako mtandaoni kwa bajeti nafuu na kupata matokeo mazuri.

4. Kukuza biashara yako katika kuweka misingi imara hadi kujiendesha yenyewe.

5. Kufanya Graphic design na kutengeneza matangazo ya picha na video kwaajili ya biashara yako.

Bei za kusimamia akaunti na Masoko kiujumla ni makubaliano kulingana na ukubwa wa shughuli zako bei ZINAANZIA 200K (Laki 2) Kwa mwezi mmoja.

Tunaweza kufanya kazi hii ukiwa popote Tanzania na nje ya Tanzania pia. Tuwasiliane leo kujua uhitaji wako 0752026992.

Mtaalamu wa kusimamia mitandao ya kijamii na tovut.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom