Hatimaye utabiri wa Kakobe kutimia

mie TOMASoo....mpaka yatokee alotabiri ndo nami NTAAMINI mtumishi wa mungu aliona mbali
 
Mwaka jana mtumishi wa Mungu Askofu Zachakary Kakobe alitabiri kuwa mwaka huu CCM wataparuana na kuparanganyika .

Utabiri huu umeanza kutimia kwani leo tumeona bunge la CCM limegoma likidai kiinua mgongo kipandishwe baada ya CAG kutoa ushauri washushe kiwango cha pesa wanachotaka kupewa vilevile kwenye uteuzi wa mgombea urais.

Kuna timu imejipanga kufanya fujo endapo mgombea wao atakatwa haya yote yanafanyika ili neno la Mungu lisimame na utabiri wa mtumishi wa Mungu utimie.

Hakika Mungu ni mwema tunaenda kuona anguko la CCM muda si mrefu.
Ameen na itokee tuu,nitamshukuru sana Mungu
 
Ccm ni chama makini hivyo kutofautiana mawazo ni jambo la kawaida ktk kundi fulani then hurudi pamoja na kusonga mbele km askari wa medani

CCM sio chama makini, bali ni chama cha wezi, mafisadi na wala rushwa wakubwa. Kila dili la ufisadi kuanzia EPA, Richmond, Meremeta, IPTL, Escrow n.k wamo
 
Me binafsi naona tofauti ,wana ukomavu wa demokrasia ya ndani so they are stronger,tofauti na kile chama ambacho ukitoa kauli ya kum contradict Mtendaji mkuu au ukigombea nafasi yake tu unakwenda na maji!!

soma katiba na sheria zinazoviongoza hivo vyama vya siasa uondokane na utindio wa ubongo
 
Machumia TUMBO hayo.sio wawakilishi wa wananchi hata kidogo.tazama yalivyosababisha ongezeko la bei ya mafuta na sasa bei za bidhàa zimepaa,kumbe yenyewe yalijua yanaongezewa posho hivyo yasingeathirika na bei hizo.wabunge tumbo hao.
 
mwaka jana mtumishi wa mungu askofu zachakary kakobe alitabiri kuwa mwaka huu ccm wataparuana na kuparanganyika .

Utabiri huu umeanza kutimia kwani leo tumeona bunge la ccm limegoma likidai kiinua mgongo kipandishwe baada ya cag kutoa ushauri washushe kiwango cha pesa wanachotaka kupewa vilevile kwenye uteuzi wa mgombea urais.

Kuna timu imejipanga kufanya fujo endapo mgombea wao atakatwa haya yote yanafanyika ili neno la mungu lisimame na utabiri wa mtumishi wa mungu utimie.

Hakika mungu ni mwema tunaenda kuona anguko la ccm muda si mrefu.

kwel kabisa
 
Me binafsi naona tofauti ,wana ukomavu wa demokrasia ya ndani so they are stronger,tofauti na kile chama ambacho ukitoa kauli ya kum contradict Mtendaji mkuu au ukigombea nafasi yake tu unakwenda na maji!!

Wewe subiria kumeza visu
 
Magamba yameng'ang'ania hadi yana ndimi mbili sasa. CCM hakuna demokrasia bali ni usanii, kama kweli kuna demokrasia basi waache majina ya wagombea wote wapigiwe kura na wajumbe wa mkutano mkuu. ulisikia wapi kuwa kukatana majina bila kupigiwa kura ni demokrasia? watu wamejipanga na waganga wakienyeji tayari kwa mashambulizi hapo demokrasia ipo wapi? Kama mtu hana sifa kwanini ulimpa fomu ili agombee? kwanini huku mwambia tangu mwanzo kuwa wewe huna sifa? hicho ni nini kama siyo usanii? ccm ni wasanii na hawana demokrasia yoyote.
 
Kakobe sio wa kumuamini,alishawahi kumtabiria Mrema kuwa ndiye anafaa kuwa rais ni chaguo LA Mungu

Hii usishikie ya kusikia tafuta kujua ukweli hili la Mrema lilitengenezwa na ccm ukweli upowazi utafute ukipata kitimoto kilicho kuwa kinaongozwa na Paskol Mayala mwaka 1997 kama sijakosea nimekiangalia aliipiga ccm kisawasawa mpaka kipindi kile kilifutwa mpaka leo Paskal Mayala alimulizwa swali wewe unaona nani anafaa kuwa rais alijibu tusipende kuchanguliwa viongozi hata mke mtu anamchangua mwenyewe kila Mtanzania anawajibu wa kupima na kuangalia amchangue nani akasema
Hata Mungu hatuchangulii kiongozi Mungu anaangalia tunataka nini ndiyo anatupa mwaka 2010 akafundisha somo Mkristo na uchaguzi alirudia hayo yote na kipindi kilirushwa kwanye TV mbili kubwa nashangaa hamkuona nikiwauliza hayo mnayosema aliyasemea wapi hana jibu tusiwe wavifu Wa kufikiri
 
Kakobe sio wa kumuamini,alishawahi kumtabiria Mrema kuwa ndiye anafaa kuwa rais ni chaguo LA Mungu

Mbona tunajua alishinda lakini Kivuitu akamtangaza aliyeshindwa, hii inatokeaga sana Zanzibar!
 
Mwaka jana mtumishi wa Mungu Askofu Zachakary Kakobe alitabiri kuwa mwaka huu CCM wataparuana na kuparanganyika .

Utabiri huu umeanza kutimia kwani leo tumeona bunge la CCM limegoma likidai kiinua mgongo kipandishwe baada ya CAG kutoa ushauri washushe kiwango cha pesa wanachotaka kupewa vilevile kwenye uteuzi wa mgombea urais.

Kuna timu imejipanga kufanya fujo endapo mgombea wao atakatwa haya yote yanafanyika ili neno la Mungu lisimame na utabiri wa mtumishi wa Mungu utimie.

Hakika Mungu ni mwema tunaenda kuona anguko la CCM muda si mrefu.

Kakobe??? Haya jamani mi napita tu...
 
Kingunge keshaanza kutoka povu toka jana!Mizee mingine bhana...!
 
Magamba yameng'ang'ania hadi yana ndimi mbili sasa. CCM hakuna demokrasia bali ni usanii, kama kweli kuna demokrasia basi waache majina ya wagombea wote wapigiwe kura na wajumbe wa mkutano mkuu. ulisikia wapi kuwa kukatana majina bila kupigiwa kura ni demokrasia? watu wamejipanga na waganga wakienyeji tayari kwa mashambulizi hapo demokrasia ipo wapi? Kama mtu hana sifa kwanini ulimpa fomu ili agombee? kwanini huku mwambia tangu mwanzo kuwa wewe huna sifa? hicho ni nini kama siyo usanii? ccm ni wasanii na hawana demokrasia yoyote.
Sifa hazipimwi kabla hujajaza form!Wapiuliwahi kuomba form ukaulizwa vyeti vyako!?Form unachukua na kujaza sifa ulizonazo then watu wanakupima kama umekidhi vigezo
 
Siyo kweli kazi yoyote ile huwa na sifa za mwombaji. Hivyo kama utaratibu unao tumika ni wa kutoa fomu basi mwenye sifa ndiye anaye stahili kupewa fomu. Msijitetee kwa majibu mepesi kiasi hicho. Kazi yenu ni kukatakata majina ya watu tuuu halafu mnajidai kuwa mna democrasia wapi na wapi. Demokrasia ya kweli inapatikana kwa maamuzi ya wengi kupitia kura na siyo kukatana katana tena bila kuwa na nafasi ya kukata rufaa, huo utakuwa nu udikteta siyo demokrasia.
 
mie TOMASoo....mpaka yatokee alotabiri ndo nami NTAAMINI mtumishi wa mungu aliona mbali
Uone vipi kwani wakitwangana makonde kikao cha maadili itajulikana. humo kikwete tu kaingia na simu na wakitoka humo hakuna kusema ya umo zaidi ya matokeo.
Bungeni huoni vipi ulitaka mpaka usikie flani kamuua flani.
Shilingi yetu ilivyoanguka BADO huoni nani kaidondosha na anafanya vipi kuipandisha. Uandikishaji BVR huoni zinavyo suasua wangapi wameachwa kimizengwe wakiwemo wanafunzi wa elimu ya juu wakijua hawatapata kura toka kwao.
WE LALA NA UTOMASO WAKO! nchi ikiuzwa ndo uendelee kulia. wenye macho tumeona na tukomacho
 
Back
Top Bottom