Hatimaye utabiri wa Kakobe kutimia

Hatimaye utabiri wa Kakobe kutimia

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,932
Reaction score
11,863
Mwaka jana mtumishi wa Mungu Askofu Zachakary Kakobe alitabiri kuwa mwaka huu CCM wataparuana na kuparanganyika .

Utabiri huu umeanza kutimia kwani leo tumeona bunge la CCM limegoma likidai kiinua mgongo kipandishwe baada ya CAG kutoa ushauri washushe kiwango cha pesa wanachotaka kupewa vilevile kwenye uteuzi wa mgombea urais.

Kuna timu imejipanga kufanya fujo endapo mgombea wao atakatwa haya yote yanafanyika ili neno la Mungu lisimame na utabiri wa mtumishi wa Mungu utimie.

Hakika Mungu ni mwema tunaenda kuona anguko la CCM muda si mrefu.
 
Molembe

Molembe fuatilia vyama vyote vikongwe vinapotaka kuangushwa haya yote aliyoyasema mch,kakobe hutokea.
 
Last edited by a moderator:
Me binafsi naona tofauti ,wana ukomavu wa demokrasia ya ndani so they are stronger,tofauti na kile chama ambacho ukitoa kauli ya kum contradict Mtendaji mkuu au ukigombea nafasi yake tu unakwenda na maji!!

Ulishawahi kusikia mwana ccm anamsema vibaya mwenyekiti wa chama vibaya jukwaani, ulishasikia mwanaccm anapanga njama za kumpindua mwenyekiti?
 
Ulishawahi kusikia mwana ccm anamsema vibaya mwenyekiti wa chama vibaya jukwaani, ulishasikia mwanaccm anapanga njama za kumpindua mwenyekiti?

Suala la kutifuana halafu wote wakawa kitu kimoja baada ya mnyukano wa kidemokrasia ni ukomavu tosha!!mfano wanaposema nitapambana na wala rushwa ,mafisadi we u nadhani JK anajisikiaje?sio udhaifu tena wanatangaza Sera kabla ya ilani? Lakini umemuona ana wa victimise?
 
Me binafsi naona tofauti ,wana ukomavu wa demokrasia ya ndani so they are stronger,tofauti na kile chama ambacho ukitoa kauli ya kum contradict Mtendaji mkuu au ukigombea nafasi yake tu unakwenda na maji!!
Uh na wewe, labda utueleze nini kilimkuta Kolimba na Kombe kama ni ukomavu wa demokrasia. Historia inatunza hata tusiyoyapenda ndo uzuri wake
 
Uh na wewe, labda utueleze nini kilimkuta Kolimba na Kombe kama ni ukomavu wa demokrasia. Historia inatunza hata tusiyoyapenda ndo uzuri wake

Kuna utofauti wa uvujishaji siri na Ku make political argument
 
Kuna utofauti wa uvujishaji siri na Ku make political argument
Political judgement once based on fraud, is political gambling, while a true patriot is ready to shed his/her blood to save millions of his/her country men. Choose to be a patriotic hero or a fanatic politician embroiled in party politics and manifestos rather than bringing better life to your fellow citizens....kutokuwa na dira si uvujishaji wa siri bali 'critique'. Wasiopenda maendeleo hawapendi pia 'critique' check if we are not feeding on that table.
 
Ulishawahi kusikia mwana ccm anamsema vibaya mwenyekiti wa chama vibaya jukwaani, ulishasikia mwanaccm anapanga njama za kumpindua mwenyekiti?

Mkuu, hujui kuwa hili ndiyo linamgharimu Lowassa?
Alikuja na hoja ya kutenganisha uenyekiti wa chama na urais. Katika yote, JK hatakaa asamehewe kwa hili.
 
Kakobe sio wa kumuamini,alishawahi kumtabiria Mrema kuwa ndiye anafaa kuwa rais ni chaguo LA Mungu
 
hao watu wanaojiita wa mungu ni waongo wanajifanya viongozi wa dini hawana lolote ni waganga wa kienyeji washirikina wakubwa.
kweli dini ilisema watakuja madabii wa uwongo ndio hawa lakini binadamu akili kiazi hawaelewi kitu
 
Ccm ni chama makini hivyo kutofautiana mawazo ni jambo la kawaida ktk kundi fulani then hurudi pamoja na kusonga mbele km askari wa medani
 
Back
Top Bottom