Hatimaye udsm kufutwa

uko sawia mkuu, sema wewe umesikia very late hiyo issue mie niliisikia miaka miwili ilopita toka kwa prof mmoja pale. Sababu kuu ni kwamba tayari vyuo vingi vimeanzishwa na vinatoa wanafunzi wa kutosha. Wao wanadhani basi ni vyema wakaenda next level ya kutoa wataalamu ili ku-feed the growing demands of lectrers inayotokana na utitiri wa vyuo vinavyoanzishwa
Ni sawa ulicho andika ndg, na majuzi kiongozi mmoja wa hapo udsm alirudia kusema ulichoandika
 
watakuwa wamefanya a big mistake.....wameshindwa kukipanua chuo wanafuta ....nina wasi wasi na hao maprofesa wa aise
 
Umeharibu hapo mwishoni. SAUT kinakimbiza kwenye nini???????
 
Ndugu unafananisha chuo cha udsm na st augustine? Majengo si tija baba, kwanza mm nakataa mahall 7 yameanza kujenga kwa ajil ya wanafunz
 
Yap, nami niliisikia hiyo kaka, prof. fulani anafundisha abroad but ni Mtanzania amenimegea hiyo program.
 
Back
Top Bottom