Hatimaye udsm kufutwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimaye udsm kufutwa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by tracy wa NJIRO, Feb 29, 2012.

 1. t

  tracy wa NJIRO Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwa habari nlizonazo za uhakika toka viongozi wa juu chuo kikuu mliman kina mpango wa kufuta undergraduate degree zote na kubakisha masters phd na kuendelea hii inalenga kutengeneza lectures na hazina ya taifa
  pia kutokana na chuo hicho kuachwa nyuma katika mambo mengi ya kimataifa ikiwa pamoja na wanafunzi kutokushiri mashindano yoyote ya vyou, chuo hicho kimekosa mvuto.
  my take .. st agustine kinakimbiza sana ni chuo kizuri kutake over udsm
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Huu mpango utachukua muda mrefu sana kutekelezwa.Almost 20 years
   
 3. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Itawezekana?
   
 4. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #4
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  mmh wataanzia wapi na lini?
   
 5. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #5
  Feb 29, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  unataka kujipromoti? Udsm ndo jamvi la kila kitu,sema siasa za jk ndo zinakirudisha nyuma. No publication,kila mtu amegeuka mchakachuaji ndo maana kimeshuka anga za kimataifa. Sijasoma udsm ila i salute watu wanaotoka pale. Ni miaka ya karibuni ndo kuna watu ambao ni pepa oriented.
   
 6. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #6
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,992
  Likes Received: 2,650
  Trophy Points: 280
  Hiyo ni mipango ya mdomoni tu.
   
 7. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #7
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Tanzania kwa Mipango hakuna nchi inayoweka kuikuta
   
 8. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #8
  Feb 29, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,368
  Trophy Points: 280
  SAUTI ndio hao bado hawajapewa mkopo? Wakati UD sasa hivi watu wapo kwenye ATM? Ud kitabaki kuwa juu tu. Kwa vigezo vingi.
   
 9. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #9
  Feb 29, 2012
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Mhhhh, UDSM kufutwa au undergraduate programs ndio zinafutwa UDSM?
   
 10. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #10
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  pole sana mkuu kwa kukosa chance hiyo..
   
 11. t

  tracy wa NJIRO Member

  #11
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ukifuta undergraduate umefuta udsm
   
 12. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #12
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hasa kwa mambo yakuomba hela ya mikopo na migomo isiyokuwa na umuhimu wakati mwingine ndio itabakia kuwa juu ila kwa elimu jaribuni tena baadae..
   
 13. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #13
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Sasa saut nacho ni chuo?majitu yanashindwa hata kudai haki zao za msingi!udsm itabaki kuwa juu siku zote.pole kwa kupakosa.over
   
 14. kinyoba

  kinyoba JF-Expert Member

  #14
  Feb 29, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 1,238
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  SAUT haiwezi kuwa m'badala wa UDSM,SUA wala MZUMBE!ubora wa chuo unatokana na vigezo vingi, mfano research works, vitivo, na elimu inayotolewa kama post graduates, masters na PHD.
   
 15. Wkaijage

  Wkaijage Senior Member

  #15
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Embu mweleweshe atubainishe kipi kati ya undrgrdt or Udsm.
   
 16. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #16
  Feb 29, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  sikuikosa kwa kutokua na vigezo. I made a choice of medicine muhimbili,and i think u hav reflected nilikuwa na pass za namna gani.!
   
 17. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #17
  Feb 29, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,368
  Trophy Points: 280
  hongera kwa imani yako uliyonayo. Ipo siku utafunguka.
   
 18. CR wa PROB

  CR wa PROB Senior Member

  #18
  Feb 29, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyo wa saut bora akae kimya!!!!!!
   
 19. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #19
  Feb 29, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,143
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  saut nacho chuo kikuu? Ni sawa na chuo cha kufuga nyuki.
   
 20. J

  Jiwe55 New Member

  #20
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mipango si matumizi,labda inawezekana.
   
Loading...