Nadhani Chief,ni mzaha tu
Overall winner
Inamaana Mshana Jr, Congo, Nigeria, na Ivory Coast tunawazidi
Safi sana! Uchawi ndiyo kwa jina la kizungu ni Technology! Tunautaalamu kuwazidi wazungu ila bahati mbaya wabongo hatupendi vya kwetu!
Ha ha haaaaaaa
Kuna kitu nilibaki mataa ni baada ya issue ya yule side chick wa D. Platnumz ya kutumia ya kuroga sijui kunini..
Nikasoma comments insta tena nilizidisha. Nikakuta wanawake wengi wameandika ni kawaida.. haikuwashtua.. wanayafanya kama kawa.. nili
Sikurudi kusoma kwa kushangaaa imekuwa part ya maishani mwa wengi bila aibu.
Lete habari basi.. siku hizi hutaki tuzidi kujijazia imani ya kumcha Mola na kujiamini au?


usijali hapa kati drama zilikuwa nyingi ila nitarejeaAibu gani mkuu hiyo ndiyo kwa kizungu inaitwa technology!! Tupende vya kwetu mkuu!!Nadhani Chief,ni mzaha tu
Dah
Ingekuwa ni aibu ya Kimataifa!!!!