Answaar Mubaarak
Member
- Sep 3, 2018
- 22
- 3
kuna kipengele cha kuweka code?au una unaconfirm tu bila kuweka code?Wakuu, tangu asubuhi saa 2 nahangaika hadi muda huu kuthibitisha UDSM lakini inakataa kabisa.
Nikifungua sehemu zote inakubali lakini kwenye kuthibitisha ndio inagoma kabisa.
Kuna tatizo gani wakuu? Kwa ambao mumefanikiwa tuelezeni namna ya kufanya
mimi mwenyewe nmeshangaa kweli....maana nlitumiwa code juzi usiku,sasa jana nmeingia ili niingize code afu niconfirm,nashangaa nakuta option ya ku-confirm tu bila kiweka code popote pale...na nlivofanya hivo nkaona imekubali kwamba nmekuwa confirmed....Nilitegemea vyuo vyote vinafuata mchakato ulio wekwa, sasa kama wao una confirm bila kutumia code imekuwaje? Karibu vyuo vyote vimetoa orodha ya waliochaguliwa (single na multiple) lakini UDSM sioni kitu yaani mnamalizana ndani kwa ndani. Naona hawataki tujue nani wamechaguliwa huko au nani ameconfirm huko.
lakini mbna imekubali kakaUtaratibu wote unataka uconfirm kwa code. Bila hivyo TCU haitatambua confirmation yako. Labda kama huo utaratibu watauacha kwa sababu ya changamoto iliyotokea kwa wengi.
lakini mbna imekubali kaka
Duh bora ningeomba chuo kimoja tunilikuwepo TCU Leo kufatilia mambo ya uncle wangu jamaa amenambia mwisho ni kesho saa 6 kasoro 1 usiku..wanavyodai eti kila muombaji ameshatumiwa code eti maswala ya mitandao tu ndo yanazingua
Unasema kweli kiongozi? Bora iwe hivyoUDSM kwenye orodha waliyo toa leo wanasema mwisho wa ku -confirm ni September 10, 2018.
Mkuu ni kweli wasome kwenye web site yao na pia humu kuna attachment sikumbuki iko uzi gani ina hizo taarifa. Jaribu hii UDSM selection - JamiiForumsUnasema kweli kiongozi? Bora iwe hivyo
Yeap ni kweli wameongeza adi tar 10 , Na wameshatoa majina ya selection yoteeeee.Nasikia wameongeza siku eti ni kweli?
Mkuu mbona hii PDF haifunguki?Mkuu ni kweli wasome kwenye web site yao na pia humu kuna attachment sikumbuki iko uzi gani ina hizo taarifa. Jaribu hii UDSM selection - JamiiForums
Una link ya kupata hizo taarifa unasaidie?Yeap ni kweli wameongeza adi tar 10 , Na wameshatoa majina ya selection yoteeeee.
Mkuu sijui kwa nini, hapa kwangu inafunguka. Basi ingia kwenye website yao ADMISSIONS utaikuta.Mkuu mbona hii PDF haifunguki?
apana sina link cheki kwenye tovuti yao wameshayawekaUna link ya kupata hizo taarifa unasaidie?
sawa vipi sasa hivi system ya ku confirm imekaa sawa?apana sina link cheki kwenye tovuti yao wameshayaweka
yap!nliwachekmzee ulijarbu kuwapgia kuwaulza