Hatimaye RunX imeingia Mwanza

Hatimaye RunX imeingia Mwanza

Ndugu wajomba leo ndio nimefika mwanza saa 1 asubuhi bila yowe lolote kwenye gari wala changamoto yoyote njiani sijapata.

Ila changamoto ni Mataa ya semi na mafuso usiku kidogo nihame njia, natamani kufunga zile taa zenye mwanga mkaliiii mweupe ili nikiwa narudi nisiteseke njiani.

Asanteni sana wakuu
Mimi na haka ka babe walker tumefika salama
Ka picha japo ka hata ka kuibia ibia tuione gariiiii

Nilikua nachomekea TU in JPM voice

😁😄😃😊
 
HONGERA SANA MKUU UMEJITAHIDI SANA

Ukitudi mkuu usisahau kunichukulia wale dagaa wanaokaangwa moja kwa moja 0710701361

Niko serious mkuu
niko mwanza.
ukitaka na Samaki pia usisite kusema japo samaki ni wa shida sana
IMG_20250625_164259_487.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom