Youbettersleep
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 944
- 1,628
Ndugu wajomba leo ndio nimefika mwanza saa 1 asubuhi bila yowe lolote kwenye gari wala changamoto yoyote njiani sijapata.
Ila changamoto ni Mataa ya semi na mafuso usiku kidogo nihame njia, natamani kufunga zile taa zenye mwanga mkaliiii mweupe ili nikiwa narudi nisiteseke njiani.
Asanteni sana wakuu
Mimi na haka ka babe walker tumefika salama