Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,360
Katika kukabiliana na ushindani wa soko la ndege hapa nchini, hatimaye Precision Air wameshusha nauli zao kwa safari za DAR - KIA kwenda na kurudi kwa Tshs 199,000.00 huku kodi zote zikiwa zimelipwa!!! Hii kwa mtazamo wangu inaweza kupunguza foleni Fastjet kwa wale wasiopenda usumbufu.
Tatizo kubwa la Fastjet ukichelewa kukata tiketi unaweza kulipa bei kubwa kuliko hata hiyo ya PW.
Nawasilisha.
Tatizo kubwa la Fastjet ukichelewa kukata tiketi unaweza kulipa bei kubwa kuliko hata hiyo ya PW.
Nawasilisha.