Hatimaye nitonye nimepata mtoto wa kiume

Last edited by a moderator:
hongera sana nitonye
Mwenyenzi Mungu akupe hekima katika kukuza vema mtoto wetu
 
Last edited by a moderator:
Sefet mtoto lazima afanane na baba ake, yani haka ka kwetu ni kadogo ila kamefanana kila kitu na baba ake!


Afu King'asti kondoo mmoja hatoshi jamani
 
Last edited by a moderator:
Hongera Sana Nitonye Kwa Kututonya Kuhusu Kupata Mtoto Wa Kiume!mwenyezi Mungu Amjalie Baby Maisha Mema Na Marefu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…