Hatimaye nipo huru

Maradhi ya bara doh!
Wewe ulikua umeshindikana yani wenzio wanaswaliwa swalaa wewe hata unywele hautikisiki πŸ˜‚ wanaimbiwa vigomaa weee hata hushtukiπŸ˜‚ ulishindikana kwa mganga na kwa shehe piaπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜πŸ˜!
leadermoe naendelea kujifunzaπŸ™‡
 
Mh nawe unanitisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…