Hatimaye nipo huru

Aisee hii dunia ina mambo ya kutisha sana.Dah huyu Mr Pazi alipitia mapito yasiyo na mfano.Sjui kama ntakuja kusoma simulizi ya kweli yenye mikasa migum kama hii.Mungu ampe pumziko jema yeye na familia yake.
 
Shukrani Sana ,nimejifunza mengi Sana kwenye hii story.. Shukrani 🙏🙏
 
Kama una muda kidogo pitia uzi huu ujifurahishe kidogo

Mola awajalie kauli thabit waja wake. Familia yote nzima ilipotea kwenye maji. Ama kweli dunia hii ni pana na kubwa kuliko fikra zetu sisi waja
 
Bora tulivyofichwa kuona ya ghaibu, vinginevyo ingekuwa mvurugano hatari.

Jaribu siku moja kupaka ule unga wa kuwaona 'wanga' (wachawi)

Halafu lete mrejesho.
Mkuu samahani naomba kufahamu jambo moja; alivyokusimuliwa huyu ndugu yako hadi alipokuja kupata umauti kupitia ajali ya mv spicer islander ilipita muda gani? Samahani sana napenda kujifunza zaidi
 
Mkuu samahani naomba kufahamu jambo moja; alivyokusimuliwa huyu ndugu yako hadi alipokuja kupata umauti kupitia ajali ya mv spicer islander ilipita muda gani? Samahani sana napenda kujifunza zaidi
Hadi nilipoanza kusimulia ilikuwa miaka 11 na kidogo imepita.
 
Asante sana kwa simulizi hii alikuwa anaitwa Juma Njemba sio Njembi, Pia ni Shariff Hussein Badawi.Mwenyeezi Mungu amrehemu na asie atupe mwisho mwema duniani na akhera.
 
Asante sana kwa simulizi hii alikuwa anaitwa Juma Njemba sio Njembi, Pia ni Shariff Hussein Badawi.Mwenyeezi Mungu amrehemu na asie atupe mwisho mwema duniani na akhera.
Nilibadilisha majina herufi moja au mbili ama tatu kwa sababu maalum (siyo code)

Nimefurahi umewajuwa hao

Basi na wengine wawatambue hao wengine kuleta uhalisia.
 
Nilibadilisha majina herufi moja au mbili ama tatu kwa sababu maalum (siyo code)

Nimefurahi umewajuwa hao

Basi na wengine wawatambue hao wengine kuleta uhalisia.
Ok sorry sikujua, hao wengine sikupata kuwaona Ila nimewasikia si unajua watu wa Qadiria Mudiru dhikr ndugu zangu huenda huko Bagamoyo kwenye maulid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…