msukule mzembe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2022
- 296
- 375
Wakuu habari zenu [emoji120][emoji120][emoji120]
Ni muda mrefu umepita toka nikamatwe kwa kosa la kusingiziwa, nilisingiziwa nimeiba ng'ombe za mfugaji mmoja hivi mtaani, hatimae kesi imeisha na haki kutendeka kwangu, mwizi amepatikana.
Nisiongee mengi ila itoshe tu kusema jela za Tanzania ni mateso. Wamenihukumu bila kosa mimi. Sema sawa tu MUNGU yupo[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Badaeni ngoja kwanza nipumzike.