karume msaka
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 418
- 725
Badoo hujakaa jela, maana ww ulikuwa mahabusu tu. Ungehukumiwa ndio ungejuwa hujuwiwe jela kusikie tuuu![]()

Umeikumbuka password yko???Wakuu habari zenu
Ni muda mrefu umepita toka nikamatwe kwa kosa la kusingiziwa, nilisingiziwa nimeiba ng'ombe za mfugaji mmoja hivi mtaani, hatimae kesi imeisha na haki kutendeka kwangu, mwizi amepatikana .
Nisiongee mengi ila itoshe tu kusema jela za Tanzania ni mateso. Wamenihukumu bila kosa mimi. Sema sawa tu MUNGU yupo
Badaeni ngoja kwanza nipumzike
Badaeni ngoja kwanza nipumzike.Wakuu habari zenu
Ni muda mrefu umepita toka nikamatwe kwa kosa la kusingiziwa, nilisingiziwa nimeiba ng'ombe za mfugaji mmoja hivi mtaani, hatimae kesi imeisha na haki kutendeka kwangu, mwizi amepatikana.
Nisiongee mengi ila itoshe tu kusema jela za Tanzania ni mateso. Wamenihukumu bila kosa mimi. Sema sawa tu MUNGU yupo
Badaeni ngoja kwanza nipumzike.
Ogopa Mungu na tekinolojia Lughe Mutahaba.View attachment 2322947
WIZI NDO TABIA YAKO
Nimecheka sana kama mazuri vile... Ila kweli jina lako linasadifu wewe Ni msukule mzembeWakuu habari zenu
Ni muda mrefu umepita toka nikamatwe kwa kosa la kusingiziwa, nilisingiziwa nimeiba ng'ombe za mfugaji mmoja hivi mtaani, hatimae kesi imeisha na haki kutendeka kwangu, mwizi amepatikana.
Nisiongee mengi ila itoshe tu kusema jela za Tanzania ni mateso. Wamenihukumu bila kosa mimi. Sema sawa tu MUNGU yupo
Badaeni ngoja kwanza nipumzike.
Ilikuwa jela muda gani?Wakuu habari zenu
Ni muda mrefu umepita toka nikamatwe kwa kosa la kusingiziwa, nilisingiziwa nimeiba ng'ombe za mfugaji mmoja hivi mtaani, hatimae kesi imeisha na haki kutendeka kwangu, mwizi amepatikana.
Nisiongee mengi ila itoshe tu kusema jela za Tanzania ni mateso. Wamenihukumu bila kosa mimi. Sema sawa tu MUNGU yupo
Badaeni ngoja kwanza nipumzike.
Mkuu nakuheshim sana tena sanaBila shaka unahisi yule jamaa mwenye a/c mwishoni inaishia na village?
Mbona unajishitukia mkuuMkuu nakuheshim sana tena sana
miezi kama 2U
Ilikuwa jela muda gani?
sawa mkuuUsiombe yakukute,miti yote huteleza! Tamea mate chini upepo mchafu usikukumbe hapa Duniani! Ndiyo maana tunasema hujafaa hujaumbika!!!