On This One
JF-Expert Member
- Nov 30, 2021
- 531
- 471
wakuuuuuuuu habari zenu [emoji120][emoji120][emoji120]
ni muda mrefu umepita toka nikamatwe kwa kosa la kusingiziwa, nilisingiziwa nimeiba ng'ombe za mfugaji mmoja hivi mtaani, hatimae kesi imeisha na haki kutendeka kwangu, mwizi amepatikana . nisiongee mengi ila itoshe tu kusema jela za tanzania ni mateso. wamenihukumu bila kosa mimi. sema sawa tu MUNGU yupo[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
badaeni ngoja kwanza nipumzike
😢😢😢