Hatimaye nimempata!

Yeah ni kweli, hajawahi kuulizia hilo suala hata hivyo..but i will be there for him incase☺️☺️
Waoooh! Sijui yupo wapi nimpe huu ujumbe kwamba wewe baby wake upo tayari kumtunuku😍 kwa hiyo aombe tu.

Wangu kanitunuku na ananiambia hajutii kufanya hivyo maana nimemfanya akasahau shida zote. Kimbembe ni amekuwa addicted ila muda wote nipo kwa ajili yake.

Siyo kila mwanaume anahitaji penzi ili asepe, na siyo kila mwanamke atoae penzi ni malaya.

Kumbe pia moja ya mateso kwa wanawake ni hamu; iwe kaokoka au lah!
 
Oukay.. Vizuri yuko na mtu sahihi kwake, hatojutia na mimi naamini sitajutia pia
 
😀😀Bora umetusemea mateso haki Tena😂😂😂😂
 
Kuna wanaume wanajua kujizungusha ukute anakufanyia kilakitu ila mzigo haombi mnajikutaga malaika 😂😂😂
Hakuna mwanaume hapendi mzigo, na ukiona anakiwia ujue anakupenda sana na hajui akikuomba utamfikiriaje!

Mara nyingi kama anataka atakuita faragha haswa geto.

Kwa hiyo ukiitwa geto na ukaenda ujue unaenda kuliwa.

Mwanaume akitaka show hiyo ni moja ya ishara, na mwanamke mwerevu anajua kabisa kitendo cha kuitwa geto ni kuliwa tu, na hata asipoliwa ataanza kujiuliza iwapo huyo mwanaume zimo!
 
Kumbe eeh kwahiyo tuendelee kuwa watulivu😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…