Hatimaye nimempata!

Uzuri nitakuja kulia tena hukuhuku, Labda mnifukuze🤒🤒😂.. Sitaki kufa alone
Sasa kupata mpenz na hajatangaza ndoa bado wewe tyr ushakuja kutamba huku jamvini jaman kuna watu wanajua kujitengenezea maumiv 😂😂
 
😂😂😂😂 Uongo yupo humu, mpk umelileta hapa basi mlengwa tunaye na ujumbe wake kauona..!!
Sisi umbea tumesomea usitudanganye..!!
Wewe mtaje siku akizingua tukusaidie kumkausha damu
Kwa sasa hata iweje hawezi sema subiri kikiwaka tutajua mpaka sehemu walipo kutania siku ya kwanza😁
 
Kama kuna mtu ambaye maybe nilishakwambia nakupenda au nakupenda pia, am sorry zilikuwa ni stress tu🙏🙏 anayependwa kapatikana (na hili halihitaji maelezo). Am in Love🥰🥰❤️
Rudi hapa miaka miwili ijayo utupe mrejesho baada ya jamaa kula tunda inavyotakiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…