Hatimaye nimempata!

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mtasubiri saaaanaaa..!!!
Vuteni viti mkae!! Vipi swahiba upo??
Nipo nipo . Nipo gado kabisaa
Lini sasa utamuandikia uzi dada angu wa kimasai??
Aaaahhh wee mi kurogwa nilishakataa.
Ukiona siku nimefanya hicho kitu, naomba mnikamate mnifunge kamba niwahishwe kwa mganga , lazima nitakuwa nimechanganyikiwa.
Naomba nisiulizwe,sawa? Yan mnikamate kwa nguvu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jirani wa humu mbona nitakufa mapema,, anaweza akarudia kukutongoza mara mbili mbili kwa I'd tofauti πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Uongo yupo humu, mpk umelileta hapa basi mlengwa tunaye na ujumbe wake kauona..!!
Sisi umbea tumesomea usitudanganye..!!
Wewe mtaje siku akizingua tukusaidie kumkausha damu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…