Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,242
- 90,420
Nitakuambia siku nyingine RafikiKwanini kukata tamaa rafiki
Go test that dude.. then go even deeper, always loving yourself first.Good morning ma lovers,
Moja kati ya vitu ambavyo tunatakiwa kuepukana navyo na kupambana navyo kwa namna yoyote ile ni pamoja na upweke and finally Leejay49 nimelishinda hili.
Maana haikua rahisi being single for almost two years, na nilishagive up kwamba hakuna mapenzi ya kweli due to senarios zilizojirudia kwa ambao nilidhani wangekua wapenzi wangu (Uongo na maisha ya kuigiza) vilinitoa kwenye reli kabisa.
Sikua na option nyingine zaidi ya kukubali kuwa i will be single foreverπ₯Ήπ₯Ή, kutafuta sana hela kwa nguvu na akili zangu zote, but still haikusaidia maana i used to spend alot of it nikidhani i will find peace of heart na sikuwahi kuipata. Ikafika hatua nikawa namuogopa kila mtu atakayeniface na kushow interest ya kua na mimi.. Haikua rahisiππ
But guys tusiache kumuomba Mungu, yaani kama unaweza kufunga hata tatu kavu just do it, inasaidia sana. Lilikuwa ni miongoni mwa maombi yangu ya mwisho kabisa, yaani kuomba kwajili ya mwanaume wa ndoto zangu, ilikua ni maombi extra baada ya kuombea kila kituπ lakini gues what, limetimia kabla ya wakati!
I do love this man na siwezi ficha, amenibadilisha kila kitu ikiwemo mtazamo wangu kwa hawa viumbe wa kuitwa Men. He is not perfect kama mimi ambavyo siko perfect but we can make it na tutafika mbali (Mungu wangu ninayemwamini hajawahi kuniacha na hata kwenye hili pia naamini hataniacha).
Kama kuna mtu ambaye maybe nilishakwambia nakupenda au nakupenda pia, am sorry zilikuwa ni stress tuππ anayependwa kapatikana (na hili halihitaji maelezo). Am in Loveπ₯°π₯°β€οΈ
Muwe na Jumapili iliyo njema.
And that's itππ.. Asante sana kiongozi Edwin MinjaGo test that dude.. then go even deeper, always loving yourself first.
Sawa rafiki.Nitakuambia siku nyingine Rafiki
love is beautiful.. should you get one.. enjoy β¨οΈAnd that's itππ.. Asante sana kiongozi Edwin Minja
Tumetumia uzoefu tu. Ushauri wangu kama unampa we mpe tu maana siku yakikukuta ukamtunuku maumivi ni mara mbili yake. Hakuna mtu anayewekwa benchi baadae akipewa anadumuNyieeeeπ€£π€£π€£ Msiseme hivoπ€£π€£π€£
Ubarikiwe sana na hongera nyingi kutoka kwanguTulia basi mkuuππ€πππ
Hahahahaha...AmenSawa rafiki.
But whatever it is, Mungu akuwekee mkono wakeπ
Kwahiyo huu uzi ndio umejibu maombi ya Leejay49Dear Miss Leejay49
Dear Miss Leejay49 , Good evening my Favorite Member here at JF As you said yesterday, after writing here that one of the JF Members I like is You. And Ivan Stepanov said he loves you, He also said the issue of spending money with You is not a problem for him ππππ. After seeing our comments...www.jamiiforums.com
Tumuache kwanza tusubiri uzi mwingineππππTumuambue au tumuache kwanza afurahie penzi jipya.
Hujambo lakini
Jirani kwanza hongera kwa kumpata daktaree wa moyo na papuchi yako πHahahahahahahahπππππππππππππππππ
Hayuko jf jirani πππJirani kwanza hongera kwa kumpata daktaree wa moyo na papuchi yako π
Umeweza jiraniiiiii πππ
Ila wambea hujatuambia km huyo shem yupo humu au huko kwa wana wa Israel?? Hili hujaliweka wazi jirani πππ
Tunaomba kumjua shem ili tusiwe na mazoea naye
ππMtaachana tuuuu