Single ni single tu huwezi kuwa happy bila company watu na hela zao wanaliaga kisa upweke. Usifanye masihara na kuwa single kudadadeki😂! "Single but happy" ni kibwagizo cha kujifariji tu ila wengi wanaliliaga chooniNdio maana huwa siamini hizi slogan za "I'm single and happy"...utakuwa lonely tu hakuna kitu kigumu kama kuwa single.
Ni shida tena kuharibu ni chapWatanzania huwa mna nini na watu wakipendana zao tu..??
Hahahahaha..huyo kumuelewa ngumu sanaSasa mbona unatuchanganya?
Ngoja niufute huu uzi ambao ndio nilikua nataka kubonyeza kitufe cha Post
KawanyooshaNimejiuliza tu kwa nini kaweka uzi...
Halafu akili ya kibazazi ikaniambia kausha, kuna mtu au watu wanafikishiwa ujumbe hapa jukwaani...
Hahahahahaha jaribu ueleweke🤣🤣🤣🤣🤣 hujawahi eleweka kama mimi tu😜
Sasa Si ukatae ofa za Mangi?😂Hahahahahaha...Rafiki nishapata sababu Mangi hapa kanitwanga na 3 mie mwenyewe nina 3 kwa friji ..mapema tu shetani kanipitia
Kuenda nitaenda naziacha hizi za jioni nikirudiChurch saa ngapi rafiki
Watanzania huwa mna nini na watu wakipendana zao tu..??
We muache, asije tu kutulilia sisi🤣Kuna mtu kauziwa mbuzi kwenye gunia 😂
PoaKuenda nitaenda naziacha hizi za jioni nikirudi
Ndio nimemwambia azihifadhi kwanza niende kupata neno kwanzaSasa Si ukatae ofa za Mangi?😂
Ahsante..ngoja tukaombe sie wakosefu
Hahaa good rafiki, nenda kwenye neno.Ndio nimemwambia azihifadhi kwanza niende kupata neno kwanza
Rafiki usisahau kuniombea na mimiAhsante..ngoja tukaombe sie wakosefu
Yeah Rafiki naenda wala usihofuHahaa good rafiki, nenda kwenye neno.
Ndio la muhimu Kwa sasa
Basi mwambie Charles kilian apunguze mazowea na wewe,ili niiulize tena nafsi yangu kama itakubaliana na mimi kuendele na mchakato tena.🤣🤣🤣🤣🤣 hujawahi eleweka kama mimi tu😜
Mkuu😅Miaka 2 bila kushtuliwa kiungo
Hahaaah nilishacomment huko juu😊
Hadi sasa sijaona comment yako Jo, nasubiri busara zako
😂🤣😁Hahaaah nilishacomment huko juu